Tenda: TR36/002/2023/2024/W/98 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mbezi Victoria kuelekea Bunju kupitia Mpigi Magoe
Wakuu naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi?
Kinachonisikitisha hii tenda hata kwenye NEST ishatolewa na...
BASHUNGWA AMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA BARABARA KYERWA - OMURUSHAKA (KARAGWE).
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya Shandong Luqiao Group atakayeanza ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka (km 50) kwa kiwango...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya Shandong Luqiao Group atakayeanza ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka (km 50) kwa kiwango cha lami na kuuagiza Wakala ya Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi huyo ili...
Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai Barabara inayopita katika Daraja la Mto Mzinga pamoja na Daraja lenyewe maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam ni changamoto kutokana na uchakavu na kutoboreshwa kwa muda mrefu, TANROADS imetoa maelezo.
Kusoma alichoandika Mdau bofya hapa ~...
#Matumizi ya mawe kupunguza gharama zaidi ya 40%
#Ushirikishwaji wa vikundi vya kijamii kusaidia kulinda miundombinu
Dodoma
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Matengenezo ya Barabara wa Sierra Leone Bw. Mohamed Kallon ameipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini...
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali.
Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104) kwa kiwango cha lami utakaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 142.56 ili kufungua fursa za kiutalii, kiuchumi na kibiashara kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
Utiaji saini...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha shilingi bilioni 3.681 za kujenga barabara ya kiwango cha kisasa...
Wilaya ya Mbulu ilianzishwa mwaka 1905 wakati huo mfumo wa utawala ukiwa wa majimbo na wilaya. Mbulu ilikuwa mojawapo ya wilaya 2 ktk iliyokuwa jimbo la kaskazini iliyokuwa na wilaya za Arusha na Mbulu yenyewe.
Wilaya ya Mbulu ni mojawapo ya wilaya zilizo ktk maeneo yenye rutuba kubwa. Wilaya...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumanne Septemba 03, 2024 amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuhoji Serikali kuhusu malipo ya fidia kwa wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe pamoja na ujenzi wa barabara ya Kibondo Mjini ya Townlink.
Mbunge Samizi...
BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya Mita 22.5.
Hayo yameelezwa leo Septemba 3,2024 Bungeni Jijini Dodoma...
Tukiachana na ya Simba asiyetulia wa kule Kizimkazi...
Tukiachana na "assist" 4 na goli 1 la mwamba Clatous Chota Chama,mh.David Kafulila amekuja na wazo kuntu haswa....
TOLL ROADS(barabara za kulipia).
Wenzetu wa Afrika kusini wameanza kuzitumia 1983 ,leo hii mh.Kafulila kamishna wa mipango...
Tarehe 16.06.2023 zilisainiwa barabara 8 zaidi ya Km 2200 nchi nzima, ila mpaka leo hii hakuna ht moja iliyoanza kujengwa.
Ile ilikuwa ghilba? Walikuwa wanamdanganya nani, kwa faida ya nani. Tunaona Rais yuko bize na Kizimkazi, ni Rais yupi anafuatilia utekelezaji wa ujenzi wa ile mikataba...
Ukisikia barabara inajengwa ndio hivi sio zile zenu za moram na kushindiliwa tu, hii barabara hata ikae miaka 200 bado utaikuta hivyo hivyo sio hizi za hapa Tanzania miezi tu hakuna kitu.
USSR
DKT. NCHIMBI AMUAGIZA BASHUNGWA, UJENZI WA BARABARA YA KYERWA - KARAGWE KUANZA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha lami unaanza mara moja ili kuondoa adha wanazozipata wananchi wa Wilaya ya...
Imekuwa kawaida Sasa Mh Rais au viongozi wa chini yake wanapotoa kauli tatanishi, za kukera au zilizo kinyume na sheria au hata katiba ya Nchi, huwa kunajitokeza wapambe kufafanua na kusema Rais kanukuliwa vibaya utadhani wao ndo wana hatimiliki ya uelewa.
Pia soma Rais Samia: Mnaotudai fidia...
Kilmanjaro;Baada ya mateso ya Muda mrefu na Bila kusikilizwa kwa kero zao za barabara wananchi wa kata ya Machame Narumu katika Wilaya ya Hai wameamua Kuweka nguvu zao katika ukarabati wa barabara zao za kijiji baada ya uchakavu wa miaka nenda rudi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.