Jeshi la Israel limekamilisha ujenzi wa barabara mpya inayopita katitaki ya eneo la kaskazini mwa Gaza kutoka mashariki hadi magharibi mwa eneo hilo. Haya ni kwa mujibu wa picha za satelaiti zilizodhibitishwa na kitengo cha uchunguzi cha BBC verify.
Jeshi hilo limeiambia BBC kuwa linajaribu...