Hicho kitu gani kinachokwambisha kuanza ujenzi kama fedha ipo? Ulipaswa kukitaja ili wananchi wakifahamu na wala kutuletea ngonjera.
==============
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujenga daraja jipya la Jangwani lenye urefu wa mita...