GE2025 Samia: Daraja la Jangwani fedha ipo tayari, sasa tunataka kuaza kujenga litakuwa na urefu wa mita 390

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Hicho kitu gani kinachokwambisha kuanza ujenzi kama fedha ipo? Ulipaswa kukitaja ili wananchi wakifahamu na wala kutuletea ngonjera.
==============
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujenga daraja jipya la Jangwani lenye urefu wa mita 390 pamoja na soko kubwa la kisasa kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo wadogo, ndani ya miaka mitano ijayo iwapo chama chake kitapewa ridhaa ya kuunda serikali.

Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Kecha, Kinyerezi, Ilala, Dkt. Samia amesema maandalizi yote ya ujenzi wa daraja hilo yamekamilika, na litawezesha kupunguza msongamano, kurahisisha usafiri na kuimarisha shughuli za kiuchumi jijini Dar es Salaam.

1761133364653.jpg
 
Toka makonda akiwa RC hapo alisema linaanza kujengwa na fwedha zipo tyr.
 
Hicho kitu gani kinachokwambisha kuanza ujenzi kama fedha ipo? Ulipaswa kukitaja ili wananchi wakifahamu na wala kutuletea ngonjera.
==============
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujenga daraja jipya la Jangwani lenye urefu wa mita 390 pamoja na soko kubwa la kisasa kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo wadogo, ndani ya miaka mitano ijayo iwapo chama chake kitapewa ridhaa ya kuunda serikali.

Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Kecha, Kinyerezi, Ilala, Dkt. Samia amesema maandalizi yote ya ujenzi wa daraja hilo yamekamilika, na litawezesha kupunguza msongamano, kurahisisha usafiri na kuimarisha shughuli za kiuchumi jijini Dar es Salaam.

Hilo daraja anamjengea nani Kama yeye na genge la washenxi wanawapoteza watu kwa kuwateka na kuwaua + kukandamiza haki za binadamu na kufanya ufisadi wa kutisha nchi hii huyu nguruwe ?
 
Hili daraja huwa kila kampeni huwa tunapigwa sound.
 
Back
Top Bottom