Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe.
WANANCHI katika Kijiji Cha Chamalendi halmashauri ya Mpibwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameishkuru serikali Kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya linaloziunganisha kata za Chamalendi na...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 48.788.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya utiaji saini mkataba...
Salaam Wakuu
Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75%
Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika.
Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana.
Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao.
Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili...
Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila
Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023.
Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
Meneja wa TANROADS Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amezungumzia Sehemu ya Tatu ya mradi wa barabara inayoendelea na ujenzi wake Mkoani hapo amegusia pia kuhusu ujenzi wa Daraja la Malagarasi.
Ameeleza kuwa mradi huo unaohusisha barabara ya Mvugwe – Nduta yenye urefu wa Kilometa 59.3, gharama yake...
Waziri Makame Mbarawa amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi (Daraja la JPM) lenye urefu wa Mita 3000 na Barabara Unganishi (KM 1.66) ambapo Utekelezaji wa Mradi huo kwa Sasa umefikia asilimia 63. Mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2019.
Machi 2021 Wakati Rais Samia Suluhu...
UJENZI WA DARAJA LA BEREGA WAFIKIA ASILIMIA 68 KUKAMILIKA
Na. Geofrey A. Kazaula, Morogoro.
Ujenzi wa Daraja la Berega katika barabara ya Berega-Dumbalume Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro unaotekelezwa chini ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umefikia asilimia...
Wakuu kwema?
Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.
Nilivyofika pale mto Wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli.
Pamoja na kwamba watu wa...
Mamlaka inayo simamia ujenzi wa barabara hiyo inayo unganisha mji wa Mombasa na Nairobi imesema kuwa ujenzi rasmi utaanza baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu wa muundo wake pamoja na kupatikana mkandarasi atakaye fanya kazi hiyo.
Kauli hii inakuja muda mfupi baada ya kuzuka kwa tetesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.