Salaam Wakuu
Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75%
Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.