Serikali imeahidi kulipa madai ya fidia ya shilingi bilioni sita kwa wananchi waliotoa maeneo yao ili kupisha ujenzi wa Kiwanja wa Ndege Kilwa Masoko mkoani Lindi kabla ya Juni 30 mwaka huu.
Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha Dkt.Mwigulu Nchemba kwa njia ya simu wakati Katibu wa NEC...