RAIS DKT SAMIA ARIDHISHWA NA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE SONGEA
Kukamilika kwa uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea kumefanya Mkoa wa Ruvuma kuwa kitovu muhimu cha biashara kwani idadi ya abiria imeongeza kutoka abiria 3,000 hadi kufikia 19,000 wanaoshuka Mkoani Ruvuma kwa kuwa hivi sasa...
Katika mchakato wa ujenzi wa madarasa ya shule za msingi, kuna masuala kadhaa ya kuzingatia kuhusu matumizi ya madirisha ya aluminium bila kuweka nondo. Kwanza, ni muhimu kujua ni muda gani madirisha haya ya aluminium yatadumu bila kuharibika, hasa ikizingatiwa kwamba watoto na wanafunzi mara...
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104) kwa kiwango cha lami utakaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 142.56 ili kufungua fursa za kiutalii, kiuchumi na kibiashara kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
Utiaji saini...
Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda.
Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
Kuna maswali mengi muhimu ya kujiuliza kwenye hii biashara ya vituo vya nafuta mpaka inakimbiliwa na karibia kila mfanyabiashara?
Je magari yameongezeka sana nchini?
Je kumekuwa na urahisi wa upatikanaji wa bidhaa husika?
Je ni njia ya utakatishaji pesa na biashara haramu
Je kuna 'syndicate' ya...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameshiriki Misa Takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi na vyumba vya kulala wageni katika Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Jimbo Katoliki la Kigoma ambapo zaidi ya shilingi Milioni 45 zimekusanywa.
Harambee hiyo imefanyika...
MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA
DODOMA
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto zinazowakabili Wananchi.
Uzinduzi huo umefanyika nje ya jengo hilo ambalo kuna eneo wanakaa...
Habari zenu Wana JF?
Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla.
Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu.
Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta.
Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu.
Ameendelea kuonyesha namna...
AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA - LINDI
Waziri Mavunde akabidhiwa hati ya eneo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chumvi
Aipongeza STAMICO kwa utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Serikali
Ujenzi wa kiwanda kukamilika Mwezi Aprili, 2025
Kiwanda...
Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania.
Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua...
Kituo cha Daladala Simu2000 kimefungwa leo Septemba 14, 2024 kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi.
Karakana hiyo ni kwa ajili ya mradi wa mabasi hayo awamu ya nne. Viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Mkuu wa Idara ya Biashara, Viwanda na...
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika...
Na Mwandishi Wetu,Dar ES Salaam
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa ametembelea mradi wa ujenzi wa matenki maalum ya kuhifadhia mafuta (Oil Terminal) wa TPA unaofanyika katika wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam ukihusisha ujenzi wa matenki makubwa 15 yenye uwezo wa kuhifadhi ujazo...
MAWAZIRI WA TANZANIA NA KOREA WAKUTANA, KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU.
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Waziri wa Ardhi, Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.