Maoni, serikali iruhusu halmashauri za wilaya, manispaa au jiji kama zinajiweza basi zijenge viwanja vya mpira ili kuendelea kukuza vipaji vya soka na kuendelea kutusahaulisha shida nyingine za maisha humu Tanzania. Au serikali kuu yenyewe ijenge viwanja vidogo vidogo sehemu mbalimbali nchini...