ujenzi

  1. Zaytun Seif Swai ahoji Bungeni Ujenzi wa Daraja la Mto Athumani - Ngorongoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai Ameuliza, Je, ni lini Serikali itaanza Ujenzi wa daraja la mto Athumani? Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amejibu na kusema; "Daraja la Mto Athumani liko katika barabara ya Mkoa ya mto wa Mbu - Selela - Engaruka -...
  2. Visiwa vya Pemba na Unguja: Ujenzi wa Kipekee wa Miamba ya Matumbawe na Kuunda Visiwa

    Visiwa vya Pemba na Unguja, vilivyoko Zanzibar, Tanzania, vina historia ya kijiolojia inayofurahisha. Jiolojia ya visiwa hivi inahusisha michakato mbalimbali ambayo imesababisha muundo na muonekano wa kijiolojia wa visiwa hivyo. Kwa kuanza, visiwa hivi vinaundwa na miamba ya ardhini ambayo...
  3. Jumuiya ya wazazi (CCM)Kilimanjaro yapigwa pini, ni kuhusu ujenzi wa bwalo la chakula Kibo Sekondari

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo. Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
  4. Kijiji cha Kataryo Chaongeza Kasi ya Ujenzi wa Zahanati Yake: Mbunge Prof. Muhongo Achangia Saruji Mifuko 200

    KIJIJI CHA KATARYO CHAONGEZA KASI YA UJENZI WA ZAHANATI YAKE: MBUNGE AKICHANGIA SARUJI MIFUKO 200 Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni: Mayani na Tegeruka. Kijiji cha Kataryo hakina zahanati yake, kwa hiyo wakazi wake wanalazimika kusafiri umbali...
  5. Pointi 10 Katika Ujenzi, Makosa katika Ujenzi

    MAKALA YA 10 Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo . 1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na...
  6. Juliana Shonza aitaka Serikali kuharakisha ujenzi wa Zahanati Kata ya Mmbebe na Wodi ya Akina Mama, Isansa

    "Serikali ina mkakati gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi wa Kata ya Mmbebe kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya" - Mhe. Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe "Serikali imeendelea kutenga fedha kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya vilivyoanza kujengwa kwa...
  7. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha: Serikali Ina Mpango gani Kuunga Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Zahanati?

    Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha; Serikali ina mpango gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi kwenye Umaliziaji ujenzi wa Zahanati! "Wananchi wa Kitongoji cha El'gong'we Wilayani Longido wanatembea zaidi ya Kilomita 35 kutafuta huduma za afya. Je, ni lini Serikali itaunga Mkono...
  8. Bashungwa Aongoza Harambee ya Ujenzi wa Zahanati Kanogo, Milioni 46 Zakusanywa

    BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA ZAHANATI KANOGO, MILIONI 46 ZAKUSANYWA. Karagwe - Kagera. Waziri wa Ujenzi Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameungana na Wananchi wa Kata ya Nyakabanga Wilayani Karagwe katika harambee ya kuchangia ujenzi na ukamilishaji wa zahanati ya...
  9. Patrick Mwalunenge (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mbeya) Atinga Site na Vipimo Kutatua Mgogoro wa Fidia Ujenzi wa Barabara Njia Nne

    PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio na vipimo baada ya Wananchi wa kata za Nzovwe na Mabatini Mkoani himo kulalamika kitendo Cha...
  10. B

    Mbunge Kishoa afanya ziara kata ya Ibaga, Mkalama. Agawa mitungi ya gesi, kuchangia 3.7M ujenzi wa Zahanati

    Mhe. Jesca David Kishoa (Mbunge wa Viti Maalum -Singida) Jana Jumamosi amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Ibaga, Wilaya ya Mkalama. Ziara hiyo ni mahsusi ya kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuliongoza na kuliletea maendeleo Taifa...
  11. Bashungwa Atoa Mabati 519 Ujenzi wa Bwalo, Serikali Kujenga Mabweni Shule ya Sekondari ya Bugene - Karagwe

    BASHUNGWA ATOA MABATI 519 UJENZI WA BWALO, SERIKALI KUJENGA MABWENI SHULE YA SEKONDARI YA BUGENE - KARAGWE. Serikali imeahidi kujenga Mabweni mawili pamoja na kukamilisha ujenzi wa bwalo katika Shule ya Sekondari Bugene wilaya ya Karagwe mkoani Kagera ili kuendelea kuboresha mazingira ya...
  12. M

    Tanform-Arusha tunaomba mtutengenezee barabara mliyo ijaza udongo kutokana na ujenzi wa ukuta wenu Moshono Losirwai

    Tafadhali Tanfom Arusha ondoeni udongo eneo la barabarani uliotokana na ujenzi wa ukuta katika eneo lenu la moshono Losirwat. Kwa kweli mnatutesa hasa Watembea kwa miguu kwani mvua hizi zinasababisha matope na toyo zinashindwa kupita hivyo kututesa tunaporudi usiku kwani tunaachwa mbali na...
  13. Tamko la Wizara ya Ujenzi kuhusu kuanguka kwa Jengo la Ghorofa mbili katika eneo la Magogoni

    Kufuatia tukio la kuanguka Jengo la Ghorofa mbili katika eneo la Magogoni, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (Mb), amezielekeza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) na Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB)...
  14. Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi No: 0789110941
  15. Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

    Kinachoendelea huko Bwawa la Umeme la Mwl Nyerere wote tunalijua kuwa siyo kizuri kwa wananchi wa Rufiji. Nimeamua kuliangalia tatizo hili kwa kwa kona tofauti. Kuna hizi ISO mbili hapa: 1. ISO 9001:2015, is a worldwide standard that sets requirements for a strong Quality Management System...
  16. Ramadhan imekwisha, tuendelee na ujenzi wa taifa

    Pasaka imeenda Ramadhan imekwisha Sasa turudi kwenye ujenzi wa Taifa. Kuna waliokuwa wanafanya mashindano kulisha iftar, iftar ilikuwa sio Ibada Tena bali mashindano. Uvaaji wa Baragashia na kanzu ukawa fasheni kwa haraka haraka ungeingia tanzania kama huijui ungesema upo kwenye Taifa la ki...
  17. Bashungwa Awaondoa Wataalam Wote Wanaosimamia Ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Mlele

    BASHUNGWA AWAONDOA WATAALAM WOTE WANAOSIMAMIA UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI - MLELE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Sitalike, sehemu ya kwanza ya Kibaoni - Mlele (km 50) kwa kiwango cha lami kutokana na...
  18. Kinondoni; Matumizi 4 Ya Vibali Vya Ujenzi Kwenye Uwekezaji Ardhi Na Majengo

    Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora fulani. Kibali cha ujenzi ni kiashiria cha kiuchumi kwenye maendeleo ya afya ya sekta ya ujenzi na...
  19. J

    Waziri Bashungwa awasili Manyara kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi barabara

    BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda...
  20. Miaka Mitatu ya Rais Samia Sekta ya Ujenzi

    MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA KATIKA SEKTA YA UJENZI. Serikali imesema imekamilisha ujenzi kwa kiwango cha lami wenye jumla ya kilometa 1, 198.50 katika kipindi cha miaka mitatu cha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwezi Machi, 2021. Hayo yamesemwa Aprili 5, 2024...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…