Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga
Mbunge wa jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kukamilisha haraka ujenzi wa Kituo cha Polisi Ushetu ambacho kwa nguvu za wananchi kipo hatua ya msingi.
Ametoa Ombi hilo wakati akichangia hoja baada ya jibu la Naibu...
Unahitaji kuwa na kiwanja hatua inayofata nikutuona sisi wataalamu wa uchoraji ramani zakisasa za nyumba ya ndoto yako kisha utapata vibali vya serikali na kuanza ujenzi wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi simu /whatsapp +255 717 040837 au 0767267664
Kwenye hii thread tutakuwa tuna share Mbinu za wizi za mafundi ujenzi ili kusaidia wale wanaotaka kujenga "wasipigwe ".
Wengi tumepigwa sana hadi kuzijua hizi mbinu.
Karibuni.
Naipongeza Serikali kwa ujenzi wa barabara hii. Changamoto iliyopo ni kuwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Safina Olasiti hadi Morombo hajaweka alama ambazo zinawataka/kuelekeza watumiaji wa barabara kutumia njia mbadala.
Hili linasabisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara/njia hizo.
Pia...
UJENZI WA BARABARA YA SANZATE - NATA WAFIKIA 45%
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imesema inaendelea na ujenzi wa barabara ya Sanzate - Nata iliyopo Wilaya ya Serengeti mkoani Mara (km 40) kwa kiwango cha lami ambapo utekelezaji wake umefikia asilimia 45 na inatarajiwa kukamilika ifikapo...
MAKALA MAALUM
karibuni katika Makala nyingine yenye kuelimisha japo kwa uchache Juu ya mambo katika yaliyopo katika ujenzi.
Leo tutaangazia katika Mitindo/Styles za muonekano wa majengo.
1.Kama ilivyo kwa Mavazi na Simu;Majengo nayo huwa na muonekano wa mitindo tofauti tofauti yenye kuvutia...
1. Mbao inaweza kufanya kazi sawa kama nondo au/chuma.
Unabisha....?
-Magorofa magofu ya Bagamoyo,zege zake zina mbao badala ya nondo.
2.Kadri jengo utakavyojenga karibu na bahari,ndipo unapunguza uwezo wa jengo kudumu mda mrefu.
Unabisha....?
-bati za nyumba za Dar nyingi zina kutu kuliko za...
UBUNTU BOTHO
Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza .
1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari.
2)Uchache...
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilihusika na asilimia 30 tu🤣
My take:
Legacy inafutwa kwa kishindo, mnyonge...
WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo...
Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania
Zaidi soma hapa:
"Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
KIMEUMANA DC SHAKA AGEUKA MBOGO UJENZI WA ICU HOSPITALI YA WILAYA KILOSA
Na Mwandishi Wetu. Kilosa -Morogoro
MKUU wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya Wilaya hiyo...
"MCHAKATO UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAMBUA MBEGU ZA PAMBA IGUNGA WAANZA "
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohamed Bashe amemuhakikishia Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kuwa mchakato wa ujenzi wa kiwanda cha kuchambua mbegu za Pamba umeanza na sasa hatua za awali zinaendelea...
UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KUFUNGUA FURSA MAFIA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuifungua wilaya ya Mafia kwa kujenga miundombinu bora ya barabara ili kuchochea fursa za...
MAKALA YA 6
Karibuni tena katika Makala ya ujenzi. Leo tujifunze machache juu ya Udongo wa Mfinyanzi na Uhusiano wake katika Ujenzi
1.Mfinyanzi ni moja kati aina kuu tatu za udongo.
-sifa aa Mfinyanzi
Una Tanuka ukiwa na maji na kusinyaa ukikauka
Una tunza maji(siyo rahisi maji kupenya)
Una...
"Juzi kwenye daladala za hapa mjini, katika story za abiria wakawa wanahoji juu ya ongezeko kubwa la ujenzi wa sheri.
Hoja yao kubwa ikiwa ni kweli biashara ya sheli inalipa kiasi hicho cha kurudisha mamilion ya pesa yaliyotumika kuhisimamisha kwa mda mfupi ..!!?
"Mwingine akahoji kua uenda...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Kisingizio alichopewa ni eti kumekosekana mhandisi hivyo wakaona ni bora Mhandisi wa Kilimo angalau alete...
UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO SEHEMU YA KWANZA KUKAMILIKA DISEMBA, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato - Dodoma umefikia asilimia 54.1 kwa sehemu ya kwanza inayohusisha ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua...
KAMATI YA BUNGE YAFANYA UKAGUZI JENGO LA DAWASA YETU
Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imekagua na kufurahishwa na maendeleo ya Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka Dar Es Salaam (DAWASA) katika eneo la Ubungo Maji Mkoani Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.