Mh . Rais Samia, unaendelea vema,japo chato na mkoa wa Geita,tunalala tukilia usiku na mchana,Kila tukiona hotel imeota majani huko jirani na ziwa Victoria.
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya kuangazia masuala kadhaa yanayoathiri maendeleo ya Chato na wananchi...