Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC) awamu ya pili unaotekelezwa chini ya Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA).
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imethibitisha kuwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro umefikia hatua ya Asilimia 27, huku mradi ukitarajiwa kukamilika ifikapo Mwaka 2026 kwa gharama ya Tsh. Bilioni...
JENISTA MHAGAMA: UJENZI WA GHALA LA MSD DODOMA LAKAMILIKA KWA ASILIMIA 95
Ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 23.7 umefikia asilimia 95.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Tsh. bilioni 23.7 umefikia 95%.
Mhagama amesema hayo leo February 6, 2025 wakati akikagua ujenzi wa ghala hilo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba wanapata Daraja la Kwanza (Division One) wote kwani wao ndio wanafunzi wa kwanza hivyo wanapaswa...
Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu.
Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Nyakia Chirukile, amesema Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi billioni 1.2 kwa ajli ya ujenzi wa Mahakama Mpya za Mwanzo, katika Wilaya ya Sumbawanga, Nkasi na Kalambo ambazo kukamilika kwake kutawawezesha wananchi kupata huduma za kimahakama kwa urahisi...
Wakuu sasahivi kumekuwa na miradi mingi inayoanzishwa na serikali, ni kama mkakati wa kuwavuta wananchi kuelekea uchaguzi mkuu, zipo kero na miradi mingi huko nyuma hakuna aliyekuwa akiitazama ila kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi ndio wanaamka kutoka kwenye usingizi mzito sana. Je, CCM wanatufaa...
Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kupitia mapato yake ya ndani inaenda kukamilisha ujenzi wa kivuko cha Kaveso kilichopo Mtaa wa Amani. Kivuko hicho ni kiungo muhimu Kati ya kata ya Kimanga na Liwiti katika kuboresha usafiri na kirahisisha Maisha ya wakazi wa maeneo hayo.
Wananchi wa eneo...
Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo.
Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani.
Leo barabara za zamani...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza, majengo yaliyojengwa ni mazuri na yanaonesha matumizi mazuri ya rasilimali. Alisema hayo wakati wa...
Nilikuwa nataka kusikimu nyumba yangu sasa nikamuambia fundi wangu anipigie hesabu ya vitu vinavyo hitajika,akapiga akanitumia picha ya vitu vinavyo hitajika.
Lakini cha kushangaza mikanda ile ya pembeni haikuwa kwenye orodha ,ikabidi nimpigie kumuuiliza nikijua labda kasahau, lakini alicho...
ULEGA AITAKA TEMESA KUJA NA TATHMINI CHANYA UJENZI VIVUKO VIPYA
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), kufanya tathmini ili kujua athari chanya zitakazopatikana kwa jamii kutokana na ujenzi wa vivuko vipya sita vinavyoendelea kujengwa na...
Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma umeendelea kuonyesha maendeleo makubwa, huku kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikieleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa hadi sasa. PAC imeitaka serikali na wakandarasi kuhakikisha mradi huu unakamilika haraka lakini pia...
Katika juhudi za kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi wa Taifa, ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) umeendelea kuwa kielelezo cha mafanikio makubwa chini ya uongozi thabiti wa Serikali ya Awamu ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Karibu katika ujenzi wa vyoo visivyojaa! Kama umependezwa na hii huduma, au unauhitaji na hii huduma tafadhali tutafte kupitia +255689753787!
FAIDA YA HIZI SHIMO
1. Kama utajenga kwa kufata ushauri wa fundi amini halitajaa kamwe!
2. Hutumia eneo dogo sana ulinganisha na mashimo ya kizamani...
Licha ya Mtaa wa Kambarage kuwa na idadi kubwa ya wakazi zaidi ya mitaa mingine yote ya mjini Njombe changamoto kubwa inayoendelea ni kushindwa kumaliza ujenzi wa ofisi yake ulioanza miaka 12 iliyopita.
Mtaa huu unaokaliwa na wakazi 15,195, unahudumiwa katika chumba kimoja kidogo cha kupangisha...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia vijana wa mkoa huo kujikwamua kiuchumi.
Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 23 Januari, 2025...
Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA
Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.