ujenzi

  1. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi (KM 7) Waanza Rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa barabara hiyo ya kimkakati. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza...
  2. Stephano Mgendanyi

    Wabunge wa UVCCM Wachangia Milioni 30 Kwaajili ya Ujenzi Chuo cha UVCCM Tunguu, Zanzibar

    Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar, walifika katika chuo Cha Umoja wa Vijana Tunguu Kwaajili ya Uvunaji wa mabilinganyi na pilipili Boga Kwa lengo la kuendeleza Siasa na Uchumi Katika Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM. Aidha, Wabunge na...
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Atoa Maagizo kwa Mkandarasi Kuharakisha Ujenzi Barabara ya Kigamboni

    WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO KWA MKANDARASI KUHARAKISHA UJENZI BARABARA YA KIGAMBONI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amefanya ziara katika wilaya ya Kigamboni kujionea maendeleo ya miradi ya ujenzi wa barabara na kutoa maelekezo kwa mkandarasi anayetekeleza mradi huo, kampuni ya Nyakemore...
  4. Thinker96

    Tutiririke vitu vya msingi kuvijua unaposimamia ujenzi kama mmiliki, haya mafundi tuambieni ukweli 1 2 3

    Habarini wakuu, Kuna vitu ambavyo mafundi tunaomba watuambie katika kusimamia ujenzi tuvijue ili tupate nyumba kulingana na gharama iliyotumika kwa kuanzia:- 1-Mgawanyo wa hatua za Ujenzi kwa mgawanyo mkubwa na mgawanyo mdogo. Mfano Mgawanyo mkubwa ni Boma-Kuezeka-Kuhitimisha. Ila mgawanyo...
  5. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Atupele Mwakibete Achangia TZS Milioni 10 Ujenzi wa Ofisi za CCM Busokelo

    Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Mwakibete, amechangia mchango wa shilingi Milioni 10 kw ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Busokelo. "Hii ni kutokana na changamoto ambazo wanachama wanakutana nazo wanapohitaji huduma za Chama, ambapo walikuwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Atoa Maelekezo Ujenzi wa Barabara ya Mbande - Msongola (3.8 KM) Ukamilike kwa Wakati na Ubora

    WAZIRI ULEGA ATOA MAELEKEZO UJENZI WA BARABARA YA MBANDE -MSONGOLA (3.8 KM), UKAMILIKE KWA WAKATI NA UBORA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, leo Jumamosi tarehe 28 Desemba 2024, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mbande hadi Msongola yenye urefu wa kilometa...
  7. Waufukweni

    Pwani: CHADEMA waendelea na Ujenzi wa Ofisi mpya, watoa wito kwa Wanachama kuchangia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani kimeanza kwa kasi utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho, ambao sasa uko katika hatua za msingi na unaendelea vizuri. Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi, Baraka Nandonde, amethibitisha kuwa mafundi wameshaingia eneo la mradi...
  8. Brojust

    Kwa Hapa Tanzania, ukikosa kazi kabisa sio lazima ukabebe tofali au kazi za ujenzi, Nenda kijijini kalime.

    Mwanangu mpambanaji, umekosa mtaji, mjini hakueleweki, ushamaliza degree yako na home hapaeleweki kazi hazieleweki. Sikia, chukuwa vyeti vyako, scan, tunza kwenye email yako, tengeneza template ya barua ambayo unaweza ku edit hata kwa simu. Piga simu kujijini kwenu, haswa kwa watu wa mbeya...
  9. F

    OMBI MAALUM: Naomba kujulishwa gharama za ujenzi wa Ikulu ya Dodoma.

    Heri ya Krismas. Ikulu kuu ya Taifa ya Chamwino iliyopo Dodoma ni Ikulu namba moja duniani kuwa na eneo kubwa sana la Aridhi. Sijasema ni Ikulu kubwa bali ndiyo namba moja kuwa na aridhi kubwa iliyotengwa kwa eneo la Ikulu tu. Majengo tu yamechukua ekari nane na eneo kubwa sana bado limebaki...
  10. Stephano Mgendanyi

    Zaidi ya TZS Bilioni 70 zatengwa Ujenzi wa mradi wa maji Biharamulo

    Kufatia kuwepo kwa kero ya muda mrefu ya maji katika wilaya ya Biharamulo moani Kagera, serikali imetenga Zaidi ya shilingi Bilioni 70 kwaajili ya kuanza ujenzi wa maji kutok ziwa Victoria. Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa wakati alipokuwa akiongea...
  11. A

    DOKEZO Chuo cha ICOT-Morogoro cha Wizara ya Ujenzi kinatoa elimu dhaifu na hakilipi wakufunzi

    Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
  12. Nyumba Nafuuu

    Kabla ya Mwaka Kuisha - Fahamu Makadirio ya Gharama Ujenzi wa ile Nyumba Yako!

    Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress Kujua makadirio Ujenzi inakusudia kujua unahitaji nguvu kiasi gani kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa... unapotaka kuomba mkopo benki wanahitaji ili wakupe mkopo...
  13. Waufukweni

    Mbeya: Kata iliyokosa Shule, Serikali yaanza ujenzi haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera amekagua Ujenzi wa Shule Tarajali ya Sekondari iliyoko Kata ya Kawetele Halimashauri ya Wilaya ya Rungwe na kuwataka Wananchi kuwa Wasimamizi na Walinzi wa Vifaa vya Ujenzi na Kwa wale wasio waaminifu kuacha mara Moja tabia ya Wizi kwa kuwa kufanya Kwao...
  14. Stephano Mgendanyi

    Jengo la Wizara ya Ujenzi Lafikia Asilimia 80, Waziri Ulega Aagiza Likamilike kwa Wakati

    JENGO LA WIZARA YA UJENZI LAFIKIA ASILIMIA 80, WAZIRI ULEGA AAGIZA LIKAMILIKE KWA WAKATI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi na Umeme (DTES), Mhandisi, Mwanahamisi Kitogo na Mtendaji Mkuu wa Vikosi vya Ujenzi, Mhandisi, Simeon Machibya kuhakikisha jengo la...
  15. Roving Journalist

    Waziri Ulega akabidhiwa ofisi na Waziri Bashungwa, Wizara ya Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi, Disemba 08, 2024...
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Akabidhiwa Ofisi na Waziri Bashungwa, Wizara ya Ujenzi

    WAZIRI ULEGA AKABIDHIWA OFISI NA WAZIRI BASHUNGWA, WIZARA YA UJENZI. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
  17. Nyumba Nafuuu

    Mwaka Usiishie Bila Kuanza Ujenzi Japo Hatua Moja - Vijumba vya Tofali na Bati Chache

    Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi) Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
  18. G

    SWALI: MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI

    Ndugu Habari za majukumu? Mwenye uzoefu tafadhali, Je nikiasi gani cha weza kutumika kujenga nyumba yenye frame 3, ikiwa na sifa hizi. upana wa frame uwe wa wastani tofali za block bati za kawaida floor ya cement ceiling board ya kawaida Naomba kuwasilisha.
  19. B

    JE NI KWELI UJENZI HUU NI SULUHISHO LA NYUFA KATIKA NYUMBA?

    Wadau wa ujenzi hasa mafundi na mainjinia wa ujenzi huyu jamaa ktk kupiga ripu kaanza na wire meshi eti inazuia nyumba kuchanika (nyufa). Je hiki kitu ni kweli na nisahihi kufanya hivi.
  20. ThisisDenis

    Vibali vya ujenzi

    Utaratibu wa kupata kibali cha ujenzi ukoje ?
Back
Top Bottom