WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES
APPARTMENT VILLA EACH UNIT 2BEDROOM
PLOT SIZE 20X30M
CALL/WHATSAP +255624004650
VISIT OUR OFFICE SINZA PALESTINA
Roofing nails zinauzwa katika vipimo vipi?
Fundi aliniambia kuwa kg moja ya roofing nails ni Tsh 6,000.
Sasa nimenunua box lina kg 13, ndani kuna mifuko midogo 25 yenye misumari 47 na haitimii kilo for that matter. Wananiambia hiyo kimfuko chenye misumari 47 ndicho elfu 6, ndiyo kg moja at...
MBUNGE MAVUNDE AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAISLAMU MAJENGO KUKAMILISHA UJENZI WA MSIKITI
▪️Achangia saruji tani 10
▪️Awapongeza waumini kwa kujitolea ujenzi wa msikiti
▪️Aahidi kutafuta wadau wa kukamilisha ujenzi
📍Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amewaahidi waumini wa...
Hapa DSM kila sehemu panajengwa , maghorofa yaliyokwama wakati wa magufuli sasa yanajengwa .
Ukiwa haufanyi baishara au haupo Latina circle ya waliojipata hauwezi kuelewa namna hela inavyopatikana Kwa sasa
https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5
===================
Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka
Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi mzoefu wa Ujenzi wa Maghorofa marefu.
Pia mngemfanyia Mahojioano Mtaalam wa Mipango miji...
Sheria zilizopo za maendeleo ya miji si mahususi kama Kanuni za Ujenzi, Wakati sheria zilizopo zinahitaji tu jengo kupewa cheti cha kufuata taratibu baada ya kukamilika, Kanuni zinataka jengo lipate uthibitisho kama linastahili kwa makazi ya binadamu au la.
Sheria zilizopo ambazo ni pamoja na...
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated
Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
Uzi maalumu kwa wale baba wenye nyumba walioamua 2024 liwalo na liwe wamefanikiwa kuhamia kwao na maisha yanasonga na hawalipi tena kodi bali wanaweza hata kugombea ujumbe wa nyumba 10 tukutane hapa.
Wengine shida maji wengine umeme na wengine usafiri.vp una solve ishu hizo kuzirahisha.mpewe...
Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora.
Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
Anonymous
Thread
afariki dunia
afrika
afrika mashariki
biashara
fundi ujenzi
huduma
mradi
ubungo
ujenzi
NAIBU WAZIRI KATIMBA: UJENZI WA SOKO LA MWANGA NA KATONGA UTAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA KIGOMA
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema ujenzi wa Soko la Kisasa la Mwanga na Soko la Samaki la Katonga mkoani Kigoma utaleta tija...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi mingi katika sekta ya afya inayolenga kuongeza ufanisi katika huduma za afya na kuboresha maisha ya Watanzania.
Sambamba na kulipongeza Kanisa Katoliki kwa juhudi zake za kutoa huduma za...
Eneo kinapotarajiwa kujengwa ni palepale Bondeni City ambapo pembeni yake kutakuwa na mji wa kisasa (satellite city)
Kwa mgeni wa jiji la Arusha, eneo la bondeni lipo barabara inayoelekea kwenye kambi ya kufunza vijana (JKT Oljoro) kutoka kwa mromboo ni takribani 8km.
Kwa taarifa za awali ni...
Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa
Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya dharura ya barabara na madaraja iliyoathiriwa na mvua za El Nino pamoja Kimbunga...
MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA MWANZA KUKAMILIKA APRIL
IMEELEZWA kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya mwanza kaskazini umefikia asilimia 44 ambapo kukamilika kwake kutasaidia kuongeza idadi ya abiria waliokua wakisafiri kwa siku ni mia 6 kwa mwaka abiria milioni 1.64 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.