Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata...
Hi huyu mwenye hii Kampuni ya Jeccs construction ni nani na nani yupo nyuma yake ?
Takukuru waichunguze maana anapendelewa sana na serikali na ana miradi zaidi ya 800 nchi nzima ya thamani zaidi ya trillioni 4 kwani hakuna kampuni zingine za wazawa?
Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi
Stratergical way ya ku-win financial problem katika ujenzi ni kuwa na MATERIAL SCHEDULE ya jengo linalo jengwa,,, Material schedule ni document...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika Ofisi ndogo za Wakala ya Barabara (TANROADS), leo tarehe 11 Disemba, 2024 Dar es Salaam.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha...
WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI WIZARA YA UJENZI.
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika Ofisi ndogo za Wakala ya Barabara (TANROADS), leo tarehe 11 Disemba, 2024 Dar es Salaam.
Kikao hicho...
WAZIRI WA UJENZI MHE. ABDALLAH ULEGA AANZA KAZI, ASISITIZA USHIRIKIANO
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Abdallah Ulega, amepokelewa wizarani na kulakiwa na watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour na watendaji na wakuu wa taasisi na kusisitiza...
Bodi ya Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wameishauri Mamlaka ya Bandari Tanzania kuangalia uwezekano wa kujenga maghala ya kuhifadhia mafuta Bandari ya Mbamba Bay kwa ajili ya kurahisisha usafirishaji wa mafuta nchi jirani za Malawi na Msumbiji.
Akizungumza baada ya kutembelea eneo...
MSIKILIZE HAPA MH RAIS SAMIA KUHUSU EPC+F LEO TAREHE 10 DISEMBA 2024
https://youtu.be/8RqWIsRYKvQ?si=Q7tQR3tXSsYr95au
MSIKILIZE HAPA MPINA AKIPINGA EPC +F TAREHE 26 May 2023
https://youtu.be/xFIULsHcw8o?si=b7d9zumzL3OvPb0e
SIKILIZA HII HAPA SIKU YA KUSAINI MKATABA WA EPC+F TAREHE 17 Jun...
Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini.
Kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho imebainika ni kwa sababu ya vitendo vya ubadhirifu wa fedha huku ikibainika watu...
Kwa sasa hivi na muda huu kuna miradi ya barabara inatekelezwa na wachina jiji zima la Dar es salaam.
Niitaje:
-Airport -KAMATA/Aggrey st.
-Bibi Titi Rd
-Ali Hassan Mwinyi rd
-Morrocco-Mwenge rd
-Ubungo-Kimara rd
-Ubungo -Mwenge rd
-Mwenge-Tegeta/Basihaya rd
-Kawawa /Msimbazi
-Azikiwe /Posta...
06/12/2024
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba G Ruhoro kwa ushirikiano na Ofisi ya Kilimo Wilaya wameshiriki kumkabidhi mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi na umaliziaji wa soko la Kimkakati Kabanga. Hii ni utekelezaji wa ahadi ya RUHORO na DIWANI wa Kabanga Mh Hafidhi Abdallah waliyo...
Oktoba 28, 2023, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera alielekeza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) - Kagera kumsimamia Mkandarasi M/s Abemulo Contractors Ltd afanye kazi usiku na mchana ya ujenzi wa upanuzi wa njia nne wa Barabara ya Bukoba...
Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika.
Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma?
Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
August 12, 2024 Waziri wa Michezo, Dr. Damas Ndumbaro alifika eneo la Tegeta-Wazo kufuatia kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa Wananchi wa eneo hilo kudai Uwanja wa Panga ambao unatumika katika michezo na shughuli za kijamii kuna zoezi lilikuwa likiendelea la kuchimba msingi.
Kusoma sakata...
Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo.
Ntonda alikuwa ameambatana na...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametambulisha na kuwakabidhi Wakandarasi Wazawa kutoka Kampuni ya Salum Motors na Jonta Investment kwa Wananchi watakaoanza ujenzi wa madaraja makubwa manne ya Ubagwe, Kasenga, Ng’hwande na Mwabomba yaliyoathiriwa na mvua za El Nino katika Halmashauri ya...
UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 11%
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambao hadi sasa umefikia 11% za ujenzi.
Msigwa...
Tuanze na faida kwanza
1. Bei rahisi, uzuri bei zao mchekea sana na kama ukiwa mbishimbishi au mtu wa kukomaa kubargain sana unapata punguzo kubwa kabisa la bei bila kujali ugumu au ukubwa wa kazi yenyewe.
2. wanatumia vizuri rasilimali zilizopo, ukitaka fundi maiko akujengee ukuta...
Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza.
Kero hiyo ipo zaidi katika Interchange ya SGR ambapo Barabara inayotumika kwa chini ni mbovu na wakati wa mvua hali huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.