ujerumani

  1. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  2. Ujerumani yasitisha misaada yake kwa Rwanda kufuatia mgogoro unaondelea Congo

    Wakuu, Serikali ya ujerumani leo imeitaarifu Rwanda hatua yake ya kusitisha misaada mbalimbali katika nyaja za elimu, tekinolojia na afya. Hatua hiyo imekuja baada ya kuthibitika kwamba Rwanda imepeleka wanajeshi wake nchini DRC ili awasaidie magaidi wa M23 kuvuruga amani nchini DRC. Aidha...
  3. Merz amwalika Netanyahu Ujerumani licha ya hati ya kukamatwa na ICC

    Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich MerzPicha: Volker Hartmann/AFP Wakati hayo yakiripotiwa, Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich Merz amemwalika Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuitembelea Ujerumani. Merz amesema atatafuta njia ila kuhakikisha kuwa kiongozi huyo wa Israel...
  4. Hawa Watangazaji Wa Azam TV Wanaotangaza Mpira Wa Ujerumani Wanakuwa Tanzania Ama Huko Huko Ujerumani?

    Msaada tutani
  5. Ujerumani: Watu 28 wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililokuwa linaendeshwa na mkimbizi kutoka Afghanistan

    Yani hawa Wajerumani si ndio walikuwa upfront kuwapokea kwa wingi ngoja waendeleee kuona moto. Mara ya mwisho kuna mmoja alifanya hivi hivi sasa leo tuna mwingine kafanya yake, kuendesha gari na kuwasomba watu waliokuwa pembezoni. Hawa watu asili yao ni kuitafuta damu, damu ya asieamini kama wao
  6. Mahojiano aliyofanya Askofu Dr. Benson Bagonza kupitia Redio DW Ujerumani

    Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana, Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru, ambapo Mtangazajo Suddy Mnette, aliweza kumhoji kinagaubaga Baba Askofu kuhusiana na Hali ya siasa...
  7. F

    Askofu Bagonza anaiponda CCM na wanasiasa wa siku hizi kupitia Sauti ya Ujerumani muda huu

    Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena Walio madarakani...
  8. W

    Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko πŸ˜‚πŸ˜‚ , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  9. Ujerumani: Gari lavamia soko, Watu watano wafariki, wengine zaidi ya 160 wajeruhiwa

    Scores of people were injured and at least two people, including a small child, were killed on Friday after a car ploughed into a crowd of people at a Christmas market in the eastern German town of Magdeburg, in what local officials are describing as a terror attack. At least 68 other people...
  10. Kumbe Talib Al-Abdulmohsen alikuwa ni mhalifu anaetakiwa Saudi Arabia, ila Ujerumani ilimng'ang'ania kumpa hifadhi. Sasa leo amewafanyia kufuru

    Wakati ambao Poland (wanaopinga kupokea uhamiaji holela) wana enjoy kwa amani maandalizi ya Christmas... Wao Ujerumani wanalipia kwa damu kutokana na huruma na msaada wao wenyewe. Huyu jamaa ni mmoja ya Waarabu wengi waishio Ulaya kwa amani na utulivu. Vitu ambavyo hawakuvipata walipokuwa...
  11. Utafiti: Watu milioni 17.5 ni maskini nchini Ujerumani(DW)

    Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali. Hali hiyo imetokana na viwango vya juu vya kodi na gharama zinazohusiana na kodi za nyumba. Kulingana na data za Ofisi...
  12. S

    Wafanyakazi wa kampuni ya kutengeneza magari ya volkswagen ya nchini ujerumani waingia kwenye mgomo

    Wafanyakazi wa kampuni ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya huko Ujerumani walianza mgomo mnamo Jumatatu ya tarehe 2 Disemba 2024. Wafanyakazi hao walianza mgomo kupinga hatua zilizotangazwa na uongozi ambazo ni kupunguza pensheni pamoja na kufunga viwanda vitatu vya kampuni hiyo nchini...
  13. Kwanini Ujerumani iko underrated (inachukuliwa poa) sana kwa matatizo iliyosababishia dunia?

    Watu wengi huwa wanawalaumu Wayahudi na kuwazushia conspiracies nyingi sana kwamba wamesababisha matatizo makubwa kwa dunia, mimi nafikiri hii ni tabia ya ukasuku wa watu kukariri tu mambo yanayosemwa bila kuyatafakari. Kama kuna taifa ambalo limechangia madhila makubwa duniani ni Ujerumani...
  14. Ujerumani inajiandaa na WWIII? Taarifa zilizovuja zaonesha kuwa inaandaa wanajeshi 800,000 kwa ajili ya kupambana na Urusi

    Wakuu, Mbona kama tunaelekea kwenye WWIII? Whats going on? Siku ya Jumatano gazeti la New York Post limevujisha taarifa kuwa Ujerumani inajiandaa kupeleka askari wapatao 800,000 nchini Ukraine baada ya vitisho vya nyuklia kutoka Urusi kuongezeka. Mpango huo umeitwa "Operesheni Deutschland" na...
  15. Balozi Ujerumani kushuhudia michezo Jumuishi kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Novemba 25, 2024

    BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Kibaha Mkoani Pwani. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkurugenzi wa Special Olympics...
  16. Nini kimewakumba Japan uzalishaji wa Magari ya Umeme?

    Nini kimewakumba Japan? Trump ana hasira nao hawa wachina balaah kati ya 10 nafasi 6 zao sio kawaida. Utawala wa DT safari hii utakuwa na vituko zaidi dhidi ya hawa wachina ana hamu nao sana.
  17. U

    Serikali ya Ujerumani yawataka raia wake wanaoishi Iran kuondoka mara moja huku ikiituhumu serikali ya Iran kwa kuwafanya mateka!

    Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel: November 1, 2024 Germany urges citizens to leave Iran due to risk of hostage taking By Reuters Today, 1:10 pm BERLIN, Germany β€” Germany has long had a travel warning for Iran and asked nationals to leave...
  18. Maktaba yapokea Vitabu Kutoka Songea, Ujerumani na Marekani

    Nawashukuru ndugu zangu kupita kiasi. Kila siku wananikumbuka na kuniletea vitabu ama wavitume au kuja wenyewe maktaba kwa miguu yao. Abdulaziz Ali Khamis yeye anatoka Mombasa. Mara kwa mara huja nitembelea Maktaba. Safari hii alikuja Tanzania akafika hadi Songea kutembelea Makumbusho ya Vita...
  19. J

    Wanaotaka Sharia katika nchi za Uingereza na Ujerumani ni wakati sasa kutilia maanani onyo analotoa Mosab Youssef?

    Nawakaribsha wana JF msikilize wenyewe hotuba aliyotoa mtoto wa mmoja wa founders of Hamas, aliyoitoa kwenye Bunge la Ulaya. Kwa kifupi jamaa huyu anauonya umoja wa ulaya kuwa dhana nzima ya utaifa wa Palestine ni njama ambazo Yasser Arafat akisaidiwa na KGB ya Soviet Union walibuni kwa...
  20. B

    Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba Kabudi atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano na Sauti ya Ujerumani DW

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi hivi karibuni alikuwa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha DW ambapo katika mahojiano Kabudi na mtangazaji Sudi walizungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea Tanzania kabla ya Waziri huyo kuondoka mwishoni mwa mahojiano hayo bila kuaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…