Mark my words, and mark them bloody well.
Kamwe—nasema kamwe—usiruhusu macho yako yakakupeleka shimoni. Uzuri wa mwanamke ni kama tangazo la bidhaa kwenye runinga: linang’aa, linavutia, lakini mara nyingi ndani yake hakuna chochote cha maana. Ukifanya maamuzi kwa kutumia tamaa zako badala ya...