Tauceti Rigel
JF-Expert Member
- Mar 6, 2025
- 201
- 556
Mark my words, and mark them bloody well.
Kamwe—nasema kamwe—usiruhusu macho yako yakakupeleka shimoni. Uzuri wa mwanamke ni kama tangazo la bidhaa kwenye runinga: linang’aa, linavutia, lakini mara nyingi ndani yake hakuna chochote cha maana. Ukifanya maamuzi kwa kutumia tamaa zako badala ya akili zako, utakuja kuishi maisha ya majuto kimyakimya, ukitazama uzuri huo huo uliochukulia kama jackpot ukigeuka kuwa chanzo cha huzuni zako za kila siku.
Na tuseme wazi bila kupaka sukari: asilimia kubwa ya hawa wanaojiita “video vixen” ni magogo ya hadhi ya juu—mawe yaliyopakwa lip gloss. Wameaminishwa kwamba mwanaume kupewa nafasi ya kulala nao ni privilege, siyo fursa ya kuonesha mapenzi ya pande mbili. Ni kama vile uchi wao umepewa hadhi ya kidini, na mwanaume anapaswa kuushukuru kwa sala na sadaka.
Ndio maana ndoa nyingi za hawa mastaa wa kuvutia hazidumu—zinadumu kama status ya WhatsApp. Mwanaume anajikuta kaoa picha ya Instagram, lakini ndani ya nyumba anakutana na bomu: hawezi kupika hata chai, hana ubunifu hata wa kutandika kitanda, na kwenye sita kwa sita ni kama unapiga punyeto kwa kutumia mto wa moto.
Kichwani? Vacuum.
Biashara ukimfungulia, inakufa kabla ya kupata jina—kwasababu hajawahi kufahamu uchungu wa kutafuta senti. Tangu kaota matiti, maisha yake yamekuwa ni misururu ya kuombwa vocha, lunch, na “naomba nauli.”
Je, umewahi kujiuliza kwa nini wanaume wengi waliooa pisi kali huishia kuwa na presha za mapenzi za ajabu ajabu? Kwa nini mwanaume aliyeoa mwanamke mrembo kuliko wote mitaani, bado hujikuta anapiga mbuyu na housegirl? Sababu ni moja: diminishing returns. Uzuri unaoleta faraja mwanzo, hugeuka kuwa kifungo kisichoonekana. Mwanamke unayemwangalia kila siku kama jicho la pili la Mungu, anageuka kuwa mzigo wa kisanii asiyeweza kuchangia kitu zaidi ya selfies na attitude.
Kwa hiyo, ndugu zangu:
Usioe sura.
Usiwekeze kwenye pamba ya ngozi.
Chagua mwanamke anayejua uzuri si leseni ya uvivu, bali changamoto ya kuongeza thamani ya ndani.
Vinginevyo, utajikuta unaishi na sanamu ya uzuri, lakini roho yako ikilia kwa upweke.