ujinga wa zamani

  1. Etugrul Bey

    Ujinga wa mabrother wa zamani

    Raha ya ujinga ni kushare na wenzako kama ambavyo nami nashare huu ujinga na nyinyi. Ilikuwa way back nakumbuka tuko shule ya msingi,ilikuwa kitaani kwetu kwa washua katika kota za wafanyakazi wa Chuo cha CCM Lushoto Tanga. Brother mmoja,kwa mujibu wa brother mwingine ambaye ni best...
Back
Top Bottom