Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
Vijana na kinamama wameonekana kuwa na kusitasita kujiunga na vikundi kutokana na takwa la kulipa deni la mtu yoyote atakae tokomea mara baada ya kupatiwa mkopo toka katika pesa ya kikundi. Hivyo n wakati sahihi sasa kwa serikali kuja na mpango kabambe wa yenyewe kuwa msimamizi mkuu wa vijana...
Habari za muda huu wakuu wa JF!
Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi?
Sio kwamba ni nia mbaya, lakini kuna wakati mdau unakaa sehemu, una bando limeisha, na unashangaa tu majirani...
TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE KUKUZA UJUZI WA WADAU SEKTA YA MADINI
▪️Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini
▪️Vyuo vya VETA kutumika kutoa mafunzo maalum
▪️Canada yaipongeza Tanzania kwa kukuza sekta ya madini
▪️Mpango wa Uwezeshwaji wa...
Wiki mbili zilizopita kuna Kijana (Jina kapuni).
Alipigwa 100k.
Kwenye mchezo huo kulikuwa na kete tatu moja ilikuwa na picha na ziingine mbili hazikuwa na picha, Sasa Bwana si dogo alijichanganya alipigwa za uso. Cha kushangaza ukiwa mpenzi mtazamaji unaona kabisa ile pale yenye picha ila...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo kutunukiwa vyeti vinavyotambuliwa na VETA wakati wanapomaliza vifungo vyao ili kuwajengea...
Jumapili, Februari 9, 2025
WAKULIMA WAPEWA UJUZI KUINGIA MASOKO YA NJE
https://m.youtube.com/watch?v=g4lX5ji0qBQ
Ukosefu wa maarifa na ujuzi miongoni mwa Watanzania, hususan wale walioko katika mnyororo wa kilimo, umetajwa kuwa sababu kuu inayowakwamisha kufikia masoko ya kimataifa.
Hayo...
Naomba kuwasilisha kero yangu hii kwa viongozi wa sekta ya elimu Tanzania. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya watungaji wa mitihani ya Kidato cha Nne hasa kwa masomo ya sanaa, kutumia lugha ngumu ya kiingereza katika maswali yao, hali inayopelekea wanafunzi wengi kufeli masomo hayo kwa sababu...
Habari za wakati huu wana Jf.
Kuna issue imenitokea week iliyopita nimeenda kariakoo kununua Smart tv TCL inch 32 Tshs 380000; imejaribiwa ikawaka vizuri nikafanya malipo nikaondoka. Kufika nyumbani nimeiwasha nimeunganisha wifi nacheki video youtube ikazima yenyewe, Yaani taa nyekundu upande wa...
Sababu:
Nimekuwa nikitumia muda mwingi kujifunza mambo nje ya darasa, kama vile:
Programming
Blockchain technology
Web Development
Akili Bandia (AI) &Machine Learning
Ujuzi Mbalimbali wa Kiufundi
Hata hivyo, juhudi hizi zimeathiri kwa kiasi kikubwa kiwango changu cha ufaulu darasani...
Jamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login information tukapambana nayo tukaweza login, sahivi tena hakumbuki tukijaribu weka email na kutap...
Nikiwa nafanya manunuzi madukani, niliingia duka moja nikaulizia bidhaa niliyoitaka nikaambiwa ipo. Kijana niliyemkuta nje ana rangi kama yangu, akanitajia bei na akanitolea bidhaa niliyohitaji. Ilipofika muda wa malipo akanielekeza dirishani nikalipie.
Kufika hapo dirishani nikakuta mvulana...
Sisi tunaongea huku tunacheka lakini hali ni mbaya, inawezekana tuko hapa tunasema waamuzi waongezewe ujuzi Kumbe wao nyuma wanabeti
Unaweza kushangaa goal ni offside ya wazi lakini mwamuzi anaacha kwasababu ameweka GG
-Amri kiemba-
Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa
Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado hamuachii viti mmekua kama hamjazaa mbona vijana tupo
Vijana wenye ujuzi mpya wapo mitaani...
Wakuu kama kichwa kinavyoeleza nimeanza kuwa na mapenzi ya dhati na Subaru Impreza za kuanzia mwaka 2012 tofauti na matoleo ya Nyuma kwakuwa za Nyuma niliziona ziko chini sana tofauti na hizi new model
Wasi wasi wangu ni kuwa nyingi nazo zifahamu au kuziona Mtaani na hata mtandaoni huuzawa mara...
Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,,
Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.