ujuzi

  1. CONTROLA

    Mtaji wa Kutosha isiwe sababu ya Wewe Kufungua Biashara Usiyo na Ujuzi nayo

    Katika Vitu vinapoteza watu wengi kwenye biashara ni MTAJI WA KUTOSHA. kuna watu nawambia wana mitaji mikubwa sana ya kufungua biashara yoyote na popote pale lakini hawaangaliii wala kuwaza yatakayojiri kwenye hizo biashara mambo yakigeuka. Kuna Uwezo kipesa na Kuna Ujuzi Wa kitu Katika...
  2. Faraja S

    SoC04 Kesho tuliyoiishi

    Watu wanasema "ukitaka kujua umepiga hatua basi simama na uangalie ulipotoka". Kwa sisi watanzania ambao tuna ujasiri wa kuhesabu miaka 62 tangu tupate uhuru wa kuijenga Tanzania tuliyoitaka wenyewe, Je tukisimama na kuangalia tulipotoka tunaona nini? Naomba dakika kadhaa za siku yako niweze...
  3. HONEST HATIBU

    SoC04 Watoto Wapewe Elimu ya Ujuzi na Sio Elimu ya Makaratasi tu

    "TANZANIA TUITAKAYO": Mfumo wa Elimu wenye Mwelekeo wa Ujuzi kwa Vizazi Vijavyo Katika dunia inayobadilika kwa kasi, elimu imekuwa kiini cha maendeleo na ustawi. "TANZANIA TUITAKAYO" inatoa maono ya kubuni mfumo wa elimu ambao unawapa wanafunzi ujuzi muhimu na ujuzi wa vitendo, na kuwawezesha...
  4. matunduizi

    Nimegundua Siku hizi vijana wadogowadogo ambao hawajasoma sana ila wanapata pesa mingi kwa ujuzi tu. Vijana waache kulialia

    Mambo yanaenda kasi sana. Ujuzi ndio kila kitu. 1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia projects wanafunzi wa mwaka wa mwisgo wa chuo. Huyu anajituma sana, huwa anaingia maktaba ya taifa...
  5. Kaka yake shetani

    Ujuzi na mbinu miaka ya nyuma kukwepa polisi

    Miaka ya (1920-1933) huko nchini marekani wauzaji na wasambazaji wa pombe haramu waligundua njia za kuwa kwepa polisi kila wanapoelekea kusambaza pombe. Njia hiyo walitumia kuweka nyao za ng'ombe kwenye viatu ili kuwapoteza polisi kujua sehemu inapotokea pombe na kuelekea. UJUZI.
  6. Clark boots

    Wataalamu wa umeme wa Jua naomba tupeane ujuzi hapa

    Ety wakuu, kwa huu ufungaji/uunganishaji wa Solar panel, Betri na charging controller umekaa sawa..? 1. Kwenye picha namba 1 inaonesha maunganisho positive (+) nyaya za Betri, solar na taa. 2. Namba 2 kwenye picha inaonesha maunganisho ya negative (-) nyaya za Betri, Solar na taa 3. Namba 3...
  7. Eli Cohen

    "AIM LOW ENOUGH": Njia ya kusaidia kukuza ujuzi wa mtoto mwenye uwezo mdogo

    Tunapush sana watoto katika level ambayo sio uwezo wao. Kinachofatia ni mtoto kuwa muoga zaidi wa kuthubutu na kukuogopa wewe bila kukuheshima. Tambua uwezo wa mtoto wako alafu mwekee challenge ya chini ambayo unayojua akitumia uwezo kidogo wa ziada atashinda tu. Hii itamfariji mtoto ila pia...
  8. R

    Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni

    Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
  9. E

    Natafuta kazi ya music production studio yoyote Dar es salaam

    Habarini wapendwa,natumaini mnaendelea vyema.Samahani mimi ni kijana wa miaka 22,naishi Buguruni,Dar es salaam.Nina ujuzi katika kutengezneza beat,mimi sio professional sana ila ninajua na ninaweza kwa uwezo wangu. Kama kuna mtu anafahama studio ya muziki inayohitaji music producer tafadhali...
  10. Mparee2

    Waislam tujenge vyuo vya kuwapa vijana ujuzi

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ujenzi wa misikiti ambapo ni jambo jema japo mingine inajengwa karibu karibu sana na mingine nje sana; Kimsingi sipingani na huu utaratibu ILA kwa umuhimu, nimeona tuna nguvu kazi ya Vijana wengi sana mitaani ambao hawana ujuzi (hawa ajiriki) hivyo, nashauri misaada...
  11. Jasor

    MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship. Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?🙏🙏
  12. passion_amo1

    Wanauchumi na wenye ujuzi wa haya nielewesheni

    Wakuu habari za uzima? Leo nilikuwa naomba nijifunze kitu hapa. Nafikiri wengi tunasikiaga marekani anawekea nchi fulani vikwazo vya kiuchumi, kutokana kwamba yeye ni super power duniani. Wanauchumi na wajuzi ya haya mambo naomba mnieleweshe hivi vikwazo vya uchumi vinakuwaga vipi? Na huwa...
  13. Adolph Jr

    Nipeni ujuzi wa kujiendeleza kimasomo, nikiwa na familia inayonitegemea

    Hello happy Sunday... Ni muda tena narudi kwenu baada ya kitambo. Rafiki wa muda mrefu amepata changamoto kidogo,kwamba amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo ndani ya mkoa alipo na wakati huo ana mke na mtoto mmoja na nimuajiriwa wa serikali . Kujiendeleza huko kunakuja kwa sababu ya kuwa...
  14. Mhaya

    Kusoma mambo mbalimbali na kufatilia vitu vipya ni chanzo kikuu cha Maarifa

    Hapa duniani kuna madudu ya ajabu sana, tena sana, kuna maviumbe ambayo ukiyaona kwa mara ya kwanza utasema labda unaishi kwenye karne ya pili huko. Ili kwanza uyajue hayo yote, ndugu yangu jitahidi sana kutafuta maarifa. Unajua sisi Waafrika tunashindwa sehemu ndogo sana, tunashikilia sana...
  15. JanguKamaJangu

    Wafungwa waliomaliza kutumikia vifungo vyao kutumia ujuzi waliupata Gerezani kujitegemea

    Serikali imewataka wafungwa watakaomaliza kutumikia vifungo vyao gerezani kutumia ujuzi waliopata kujitengenezea kipato ili kuepuka kujiingiza tena katika uhalifu. Maagizo hayo yametolewa Novemba 20, 2023 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb) Mhe. Jumanne Sagini wakati alipokuwa...
  16. R

    Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
  17. R

    Biashara ya nguzo za umeme za Miti

    Naomba wenye uzoefu nayo hii Biashara(Ya Kuuza Nguzo za Umeme za Miti) tushee ideas mbali mbali kuhusu uendeshaji wake na dondoo mbali mbali za hii biashara.
  18. Pain 01

    Jinsi ya kutoka kwenye hali ngumu na kutafuta fursa za kazi zisizohitaji ujuzi maalum

    Habari zeni wakuu, kwa heshima na taadhima nmeona nilete jambo langu hapa. kwa maana katika harakati za msoto wa kila siku nmeona ni vyema kuleta jambo langu aidha naweza kupata idea ama kupata fursa yeyote kwani niko tayari kujifunza So ladies and Gents Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23...
  19. Tugepalu Jr

    Mwenye ujuzi wa kutengeneza ubuyu

    Kwa yeyote mwenye ujuzi wa kupika ubuyu naomba anipatie experience kidogo pia na kuhusu vitu gani muhimu vinavyohitajika katika uandaaji wake.
  20. Yohana Ezekiel Kanyamala

    Natafuta kazi ya kuwa Katibu Muhtasi

    Naitwa Yohana Kanyamala, natafuta Kazi katika fani ya Secretary (Katibu Muhtasi) Nina ujuzi mbalimbali pia, kama kutumia kompyuta na nyinginezo
Back
Top Bottom