ujuzi

  1. ankol

    Ukiwa safarini ukakutana na vitu hivi utafanyeje?

    Upo safarini usiku mnene, uko peke yako, unakatiza mapori mara hamaad. Unakutana na vitu kama hivyo barabarani. Utafanyaje?
  2. Mr Why

    Elon Musk hana ujuzi wa maswala ya mitandao ya kijamii

    Elon Musk hana ujuzi wa maswala yote yanayohusiana na mitandao ya kijamii kwasababu amekuwa na tabia za childish tangu awe mkurugenzi wa kampuni ya Twitter. Kwa kawaida mtu anaponunua kampuni yeyote ile anatakiwa kuboresha huduma zilizokuwa zikitolewa hapo awali na sio kuharibu huduma. Bwana...
  3. Colly 7

    SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita ibadilishwe kuwa Elimu ya Vyuo vya kutoa ujuzi

    Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu ni mzuri), na kurudi kwenda kusomea Stashahada, sawa na wale walimaliza kidato cha nne (kama ufaulu...
  4. Smart Contract

    Ndugu zangu nahisi naibiwa sio kwa miamala hii. Wenye ujuzi mnisaidie

    Wasaalam! Poleni kwa majukumu, moja kwa moja kwenye mada naomba mnisaidie kwa mnaojua hizi aina za miamala (kwenye picha) Kuna huu muamala CRDB wanaita TMS Cash Withdrawal Desc. Persanal Cash withdrawal Naomba kujua ni muamala wa aina gani maana kuna kiasi cha pesa 300k nilipokea, nasikutoa...
  5. Mwl.RCT

    SoC03 Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa

    Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi: Elimu ni muhimu kwa maisha na maendeleo ya binadamu. Elimu inawezesha wananchi kuelewa na kushiriki katika masuala ya kitaifa na kimataifa...
  6. Superbug

    Nahitaji darubini (binoculars) mwenye ujuzi wake juu ya specifications bora na bei

    Wandugu nahitaji kununua darubini kionambali naomba kama kuna anayejua aina zake ubora wake bei zake na mahali zinapopatikana hapa tanzania. Na je sheria hazina tatizo juu ya umiliki wa darubini? Wajeda hawawezi sumbua nikiwa nayo? Asanteni
  7. Mzee wa Kosmos

    SoC03 Sehemu tajiri kuliko zote ulimwenguni, taifa tajiri la Tanzania 2050

    UTANGULIZI Miaka 7 iliyopita niliamua kufanya uchunguzi na tafiti mbalimbali kwa nini mataifa mengi sana ya afrika ni masikini pamoja na taifa letu la Tanzania. Katika uchunguzi na tafiti zangu niliamua kusoma historia ya ulimwengu wa kale,nikasoma na ulimwengu wetu wa sasa na nikasoma...
  8. Tonytz

    SoC03 Kukuza ujuzi wa masomo ya kijamii kutaongeza uwajibikaji

    Ujuzi wa masomo ya kijamii ni taaluma ambayo inajumuisha masomo mbalimbali yanayozingatia utafiti wa jamii ya binadamu, miundo ya kijamii, taasisi za kijamii tabia na mienendo katika jamii na mwingiliano katika jamii. Maudhui katika masomo haya ya kijamii huchotwa kutoka vyanzo vya masomo...
  9. D

    Mwanao akimaliza form 4 mpeleke hata veta akapate ujuzi

    Kwema, Sisi vijana tusio na ujuzi zaidi ya kile tulichosomea ni tabu sana huku mtaani. Mtu unamaliza chuo bila ujuzi wa ziada wa kukusaidia kitaa aloo ndo maana tunasota sana. Wazazi msiwatumie watoto wenu kwenye shughuli zenu za kukuza kipato chenu, walau hata muwapeleke mahali kama veta...
  10. S

    Wapi nitapata soko la kuuza mkaa mbadala? Ujuzi wa kuzalisha ninao, mwenye kujua soko anijuze tafadhali

    Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia! Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja! Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii. Ujuzi ninao, vifaa na mashine zipo lakini shida ni wapi nitauza hii bidhaa! Kwasasa napotaka kuanza...
  11. B

    SoC03 Elimu na maarifa ni mali ya Umma. Kipaji na ujuzi ni mali binafsi

    Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa mwandishi wa mashairi na riwaya katupia miwani yake na tuzo za hapa na pale, na kuna mdada mmoja fundi wa...
  12. African Geek

    Kuna tofauti gani ya kati ya Elimu na Ujuzi?

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kuna utofauti gani kati ya Elimu na Ujuzi. Elimu ni nini? Ujuzi ni nini? Je, wanaoenda shuleni na vyuoni wanatafuta elimu au ujuzi. Kama wanatafuta elimu, je, elimu wanaitafutaje? Kwa kusoma vitabu na kukariri misamiati? Je, Daktari, Engineer, fundi seremala, Mvuvi...
  13. T

    Tupeane Sites zisizo za utapeli zinazoweza kukulipa kwa kufanya kazi bila ujuzi za online mimi naanza na hii

    SproutGigs SproutGigs (zamani ikijulikana kama Picoworkers) ni tovuti ambapo watu kote ulimwenguni wanaweza kujisajili kama wafanyakazi huru ili kupata pesa kwa kukamilisha kazi ndogo au rahisi zilizochapishwa na waajiri. Inalipa kuanzia Tsh 100 hadi 2000 kwa kazi ndogo ndogo moja Hakuna...
  14. L

    Afrika inanufaika na ongezeko la watu wenye ujuzi nchini China

    Hivi karibuni, Umoja wa Mataifa ulikadiria kuwa kufikia katikati ya mwaka huu, India itaipita China na kuwa nchi yenye watu wengi zaidi duniani. Juu ya hali hii ya kawaida ya mabadiliko ya idadi ya watu, kwenye ripoti za baadhi ya vyombo vya habari vya Magharibi, inaonekana kuwa ni shida kubwa...
  15. kavulata

    Tanzania toeni uraia kwa wakimbizi wenye vipaji na ujuzi

    Kuijenga Tanzania mpya kunahitaji watu mahiri na makini bila kujali asili zao. Yanga na Simba zinafanya vizuri Sasa baada ya kusajili wachezaji wenye ujuzi mkubwa bila kujali uraia wao. Tanzania ina wakimbizi wengi sana tangu zamani, baadhi ya hawa wakimbizi ni walimu, wahasibu, engineer...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki

    Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
  17. beth

    Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni: Ujuzi na Gharama zatajwa kukwamisha wengi

    Ili kuongeza Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Nathan Belete amesisitiza umuhimu wa Mafunzo ili kuwapa Wasichana Ujuzi wa Kidigitali Ameshauri wigo wa upatikanaji wa Intaneti uongezeke, na gharama ya Huduma hiyo iwe nafuu ili kuwafikia Wanawake wengi zaidi...
  18. J

    Ulikuwa na ujuzi wowote wa kidigitali ulipoanza kutumia smartphone?

    Ujuzi wa Kidigitali umekuwa hitaji la msingi katika Miaka ya hivi karibuni. Lakini je, hujawahi kukutana na Mtu anayepata changamoto kutumia Kifaa cha Kidigitali? Hii inakupa picha gani? Ni ngumu kwa Wananchi kutumia na kufaidika kikamilifu na Intaneti ikiwa hawana Ujuzi unaohitajika.
  19. Binadamu Mtakatifu

    Nimepata kazi Upwork ila sina ujuzi nayo nataka nimpatie mtu

    Habari jaribuni kuangalia hii kazi hapa chini Sio mjuzi kutumia jukwaaa hili ila nilijaziwa profile na mtu so kuandika sio hobby yangu kabisa kuliko pesa itembeee nimeamua kusghare na marafiki zangu hapa kama unaona dili karibu sana inaliapa $700+ huko Nimeshabonyeza accept
  20. Balqior

    Msaada: Wenye ujuzi na uzoefu kuhusu kazi ya uvuvi

    Namaanisha ile kwenda baharini na kuomba kibarua cha kazi ya kuanza kuvua samaki hlf ni mgeni na sina uzoefu wa kuogelea. Nimeongea na wavuvi wenyeji Wenye mtumbwi wa kawaida tu, wamekubali nijiunge nao, je ni kazi yenye maslahi? Malipo yake kwa siku ni tshs ngapi? Majukumu yangu yatakuwa...
Back
Top Bottom