Kwa miezi sasa nimekuwa kila nikifungua e mail yangu nakutana na email za watu wakiniomba kazi wakiwa wameambatanisha na CV zao!Nadhani labda kuna watu wasiowaadilifu wametumia email address yangu kwenye matangazo yao ya kazi!Ninaomba mwenye ujuzi wa namna ya kufanya anijuze ili watu wasiendelee...
Kama miaka 2 hivi imepita kwa I'd nyingine nilishauri kidato cha sita badala ya kwenda JKT kwa mujibu wa sheria waende VETA kwa mujibu wa sheria ikiwezekana wakae huko mwaka au miezi sita .
VETA watarudi na ujuzi kamili ambao utaweza kuwachallenge mafundi wa mtaani.
VETA cheaper ukilinganisha...
Skills au ujuzi upi ni muhimu kuwa nao kijana wa kitanzania mwenye umri kuanzia 18 na kuendelea labda mwisho35 (awe ana soma au yupo mtaani.)vyovyote vile ilimradi kijana.
Nia na madhumuni ya uzi huu ni kwamba kujulishana skills mbali mbali za kusomea au kujifunza ili kuendelea kupigania maisha...
Nilipomaliza chuo sikutaka kuajiriwa. Nikaona nijiajiri ili niweze kupata utajiri wa haraka ndani ya miaka michache.
Nikafanya biashara ya kwenye makaratasi nikaona nitapata faida kibao huku nikisaidiwa na calculator yangu.
Nikaomba mtaji home, huyo nikaenda Songea kununua mahindi na kupeleka...
Hello JF,
Kwa muda mrefu sasa malalamishi ya housegirls kunyanyaswa katika nchi za kiarabu kama Oman, Turkey, etc. yamekua mengi.
Ninachoona hapa ni kutokua na taarifa ama records to identify those at risk.
Kama ilivyo vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), then kuwe na...
Inafahamika wazi kuwa teknolojia imebadili maisha ya binadamu na mabadiliko mengi zaidi bado yanaendelea kuja. Tanzania ni moja ya nchi ambamo maendeleo ya kiteknolojia yanazidi kuonekana yakibadili maisha ya watu siku hadi siku, mfano kuongezeka kwa matumizi ya mtandao wa intaneti.
Ukitazama...
Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa
Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed
Kama kuna mtu alishawahi kukumbana na tatizo kama hili kwenye simu hizi za kijapan akafanikiwa kutatua naomba tupeane...
Wakuu ajira imekuwa shida sana na inauma kuona mtu akiteseka sababu ya kukosa ajira. Mi nilikuwa na wazo kuwa zianzishwe centre za kufundishana huu ujuzi wa kitaani tulio nao ili mtu akiienda sehemu akaufanye vizuri/ kujiajiri vizuri.
Hizi kozi ziwe fupi tu, mwezi mmoja hadi miezi mitatu. Ni...
JIFUNZE SOFTWARE ZA UCHORAJI VITU KAMA RAMANI ZA NYUMBA, BARABARA , RELI N.K
TUNAFUNDISHA SOFTWARE ZIFUATAZO
1.AUTOCAD
2.ARCHICAD
3.CIVIL 3D
4.REVIT ARCHITECTURE
5.EPANET
6.PROKON
7.PROTA
8.MASTERSERIES
JIFUNZE UJIAJILI , PESA YAKO ITARUDI KWA PROJECT MOJA TU
WASILIANA NASI KWA SIMU 0767 267...
Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources.
The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company...
Kwa nini wasomi wengi hawapo tayari kujitolea?
Jamii ina imani kubwa na vijana wetu ambao wanafika ngazi za juu za kitaaluma, kiasi wakaaminika kupewa nafasi katika maeneo mbalimbali.
Lakini ni ngumu kwao waliopewa dhamana hiyo, kuwa tayari kuwakusanya hata baadhi tu ya wale wanaowazunguka...
Habari wakuu,
Ukiwa unafanya application katika website huku ukihitajika ku_upload some files na wakati huo website ikawa slow kulingana na kuwa overwhelmed na applications nyingi kutoka kwa watu mbalimbali.
Je, kuna app yeyote au namna yeyote ya kubypass hii lag na kufasten the process?
Nipo napatikana Mara - Musoma kwa Mawasiliano zaidi nicheck 0674615883 nyote mnakaribishwa
NOTE: Nikisema sina ujuzi wowote nifaamike hivyo mwenye kuniitaji ili niwe napata angalau ugali wangu wa kila siku anione, nipe kazi yoyote ila sio ya wizi,ujambazi wala utapeli, 🙏🙏
Kwa mujibu wa maelekezo ya ofsi ya waziri mkuu, mpango huu kwa mafundi kupitia VETA, mafunzo ambayo yanatolewa kwa miezi 3 na kugharamikiwa na serikali, kwa Kila mwanafunzi aliyechaguliwa anapaswa kulipwa elfu 50 Kila mwezi akiwa mafunzoni, lakini khari imekuwa tofauti, wanafunzi hawa...
Nimeleta fursa hii kwenu watanzania wenzangu lengo ni kuona ni jinsi gani tunaweza kujikwamua kiuchumi.
Idea hii hakika akuna mtu atajutia,so watanzania wengi awatambui kwamba kunapesa nyingi sana kwa sasa kupitia mfumo wa teknolijia..
Kwakutambua hilo nimekuja na huu mfumo ambao kila mtu...
Moja ya tasnia kubwa duniani ni fashion, kazi ambayo inaweza kuwa career ya kijana kama akiwa na interest nayo. Kwa mujibu wa www.indeed.com fashion designer duniani wanaingiza wastani wa $6,000 (takribani milioni 14) kwa mwezi. Ukifanya tathmini kwa mazingira ya Tanzania, tasnia ya fashion ni...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwamuru kufika mahakamani mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi, Septemba 14, mwaka huu, baada ya jana kushindwa kufika kusikiliza kesi yake.
Amri hiyo ilitolewa jana na mahakama hiyo...
Habari ya Jumapili wapendwa
Naomba ushauri kama kuna wajuzi wa kurekebisha paa la nyumba iliyopauliwa vibaya na kupelekea baadhi ya maeneo kuvuja.
Nawakilisha🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.