ukabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Dini na ukabila ni sumu kwa Taifa by Hayati Baba wa Taifa

    https://m.youtube.com/watch?v=6QHH07X5m28
  2. Udini na ukabila wa urangi ni vitu ambavyo vinashindwa waafrika kujua kuwa sisi ni waafrika

    Leo kuna mtu nimekuta anafurahi kufa kwa wa Congo kwa vita ila kukasirishwa na wapalestina kufa wakati wote ni vita ya udini na ukabila. Hivi hawa waafrika wa vijiwe vya kahawa ndio waliaminishwa na nyerere wanapatikana usalama.
  3. Kiongozi wa umma apimwe kwa Uwezo wake si kwa Jinsia, Ukabila, Dini, Uzanzibari au Ubara

    Salamu wakuu, Siku za karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaopiga matarumbeta kunadi viongozi kwa munajili wa Jinsia. Watu hao wanasahau kabisa kwamba ubora wa kiongozi hautokani na Jinsia yake, Dini yake, Uzanzibari wake, Utanganyika wake, Sura yake nk. Bali ubora wa Kiongozi unatokana...
  4. Wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kugundua ndio hao hao Wambulu wa Tanzania

    Nimefuatilia sana hawa wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kujiridhisha pasipo shaka kwamba ndio hao hao wa Mbulu ambao wao wali hama wakajikuta wamefika Tanzania. mwo Oromo akiwa amejichora, kumbuka waambulu pia walikuwa wanajichora hivyo ingawa kwa sasa ni kama wamecha vile. Wa Oromo ni kabila...
  5. W

    Kuna ukweli kukiwa na serikali ya majimbo ndio mwanzo wa kuigawa Tanzania kwa misingi ya ukabila na dini ?

    Mfano kwa hapa Tanzania kila mkoa uwe na serikali yake, Kuna ukweli huu mfumo unaweza kuleta ukabila au udini ?
  6. B

    Akemewe James Mbowe kwa kuitisha uungwaji mkono kwa mgombea kwa misingi ya kikabila!

    Yaonesha huyu bwana anadhani hiki chama ni kwa ajili ya matambiko: Ajulishwe James Mbowe, hiki chama hapendwi mtu bali msimamo wake. Soma Pia: James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga Zaidi sana huku matambiko si mahali pale. ========== Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Katavi...
  7. M

    Mwenyekiti CHADEMA, Katavi: Kauli ya James Mbowe dhidi ya Lema inaashiria ukabila, ipingwe na kila mmoja anayependa ustawi wa demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro James Mbowe dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema...
  8. Burundi: Mwandishi wa habari ahukumiwa miezi 19 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila

    Mahakama mjini Bujumbura imemuhukumu kifungo cha miezi 19 Gerezani Mwandishi wa habari Sandra Muhoza baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila. Mwandishi huyo wa habari mwanamke wa Burundi alikamatwa mkoani Ngozi tangu mwezi Aprili mwaka huu na...
  9. Ulaya imejengwa na ukabila

    Ulaya imejengwa na ukabila. watu wa kabila moja waliamua kutengeneza Nchi yao. kwakua wanasikilizana, wana Miiko sawa ndiyo maana Nchi zao zilikuwa kwa haraka Kiuchuni. Unlike Africa, Makabila zaidi ya Mia Moja yamefungwa Nira Moja. Hii inafanya watu wasiwe na Uchungu na Rasimali za Nchi. kwa...
  10. Kuchunguza Tabia za Jamii Tanzania: Wajinga, Wenye Ukabila, na Raia - Tafakari ya Kina

    Katika uhalisia wa maisha ya Watanzania, kuna aina tatu za watu ambazo zinaonekana waziwazi — “wajinga,” “wenye ukabila,” na “raia.” Aina hizi za tabia zinatufundisha mengi kuhusu jinsi tunavyoishi, jinsi tunavyoona ulimwengu, na hata jinsi tunavyopima thamani ya uadilifu na utulivu wa kijamii...
  11. Hivi kwanini sera zote za viongozi wa CHADEMA zinamlengo wa ukabila? Kwanini hawaongelei umoja wa kitaifa?

    https://www.instagram.com/reel/C-7ndt1NFq5/?igsh=MTB2MHdtZnF5N2p1cg==
  12. Mwalimu Nyerere na Tatizo la Udini na Ukabila

    Hotuba nzuri sana iko hapo chini Mwalimu akionya kuhusu tatizo la udini na ukabila. Msomaji wangu mmoja kaniletea na kuniomba nimpe fikra zangu kuhusu hii kansa. Nami nimejitahidi kuliangalia tatizo hili nikipitia historia yake mwenyewe Mwalimu. Mwalimu Nyerere alipigiwa kura kuwa Rais wa TAA...
  13. Dkt. Gwajima D naleta malalamiko kuhusu SHK.Zaid Makubuli na mada za ukabila kuhusu wanawake

    Nimejaribu kufichua ila lijafanyiwa kazi na serikali inatakiwa kuchukua sheria kali kwa watu kama hawa wakina shk zid makubuli kuhusu na chuki za kupandikiza haswa makabila. Dkt. Gwajima D nafahamu TCRA na wizara yako mnaweza kuwashugulikia wote walishiriki kutoa kipindi hiki online kuhusu...
  14. G

    Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

    Idadi / population ya warwanda Wahutu 85 % Watutsi 14 % Watwa 1%. Kwa hisoria fupi, mauaji ya Kimbari 1994 yalianza baada ya waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame kulipua ndege aliyokuwemo Rais wa Rwanda mhutu (pia akiwemo rais wa Burundi mhutu), ndipo Wahutu wa Rwanda wakaamua kulipa kisasi...
  15. G

    Makabila makubwa yakishika uongozi hujazana wao, bora nafasi za juu wapewe makabila madogo

    Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la. Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana?Ni kwamba hakuna wahehe au wangoni waliosoma? Miaka ya leo uniambie kuna kabila halina wasomi waliokosa ajira, lipo hilo? Sasa tuje kwa...
  16. S

    Makonda anaeneza ukabila? Ni nini kinamfanya aongee kisukuma huko usukumani?

    Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai anapsua nchi. Kisukuma kilivyo kibaya mi ningeona aibu kukitumia tena karne hii.
  17. Ni kweli kwamba Rwanda kuna ukabila uliokithiri na ubaguzi?

    Naambiwa kwamba Watutsi ni kundi la watu wachache sana lakini wao ndio wameshikilia vyeo vingi serikalini, jeshini, sehemu zao zinaendelezwa, n.k. huku Wahutu ambao ni karibia asilimia 85 ya nchi wana maendeleo duni na kubaguliwa kwenye vyeo, kuna ukwel?
  18. F

    Watanzania tuwe makini na wanasiasa wanaotaka kutumia ukabila kupata kura

    Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani. Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa...
  19. Mh. Rais, itazame nchi kwa umoja wake. Ukabila na upendeleo unashika kasi ukiwepo

    Kila aliyesikiliza mjadala wa ripoti ya CAG na majawabu ya mawaziri, ameelewa wazi kwamba mawaziri wanahusika na wizi huo. Kama wasingehusika, ingekuwa ni taharuki maana hakuna anayetaka kuibiwa. Pamoja na kuhusika ktk wizi, yaonekana wapo ktk nafasi kwa urafiki binafsi na rais, na kuna...
  20. Mwendazake alikuwa ni rais alieendekeza ukabila sana

    Japokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa lakini naweza kusema enzi za mwendazake ukabila ulitamalaki sana, wasukuma waliweza kupenya kwenye ajira mbalimbali pdf nyingi za kipindi cha mwendazake zilijaa wasukuma akina ngusa,lushinge maduhu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…