Tanzania Hakuna ukabila wala udini lakini kuna makabila na Dini.
kipindi cha awamu ya Tano Wananchi wengi na wadau wengi wa mtandao wetu pendwa wa JamiiForums walikuwa wakieneza propaganda kuhusu uteuzi na ajira kipindi cha miaka iliyo pita ulikuwa ukihusisha ukabila na kutaja kabila moja wapo...
Miaka 61 baada ya kuwa na Tanganyika huru leo tunashuhudia kampeni kubwa na ya aina yake katika taasisi mbali mbali hapa nchini ya kuwataka wamasai ambao wamekuwa wakiishi katika maeneo hayo kwa zaidi ya miaka 60 kutakiwa kuya hama makazi yao ambayo vizazi na vizazi wamekua wakiita nyumbani...
Jamii ya watanzania ilishatoka huko kwenye uchifu!
Na huu upuuzi ukiendekezwa utaturudisha nyuma sana hasa kwenye baadhi ya jamii kwa kuongeza ushirikina na uchawi hivyo kupelekea mauaji kila kona ya nchi!
Ukitizama nchi ya Nigeria ina matatizo mengi sana kwa kuwa inaruhusu uchifu kitu ambacho...
Humphrey Polepole amesema kuwa
"Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa?nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya hisia za ukabila, usisi na uwao, Mwalimu Nyerere aliona mbali kukataa haya mambo kwani yataligawa...
Tanzania ya Mwl Nyerere ilijengwa katika misingi ya umoja na ndio sababu kubwa ya kufuta uchifu.
Leo taifa letu lina zaidi ya miaka 60 tangu tupate uhuru anatokea mwanasiasa mmoja anaenzi uchifu.
Mataifa kama Uganda na Nigeria ambayo yaliendelea na uchifu yalijikuta yakipata matatizo makubwa...
Nimefurahishwa sana na viongozi hawa kujitokeza na kuwa wawazi kwa yale yaliyojiri katika awamu ya iliyopita
Ni ukweli japo mchungu kwa baadhi yetu
Sisi kama Taifa kuna mahali tulikua tunaelekea kupoteza dira na umoja wetu
Ukabila na ukanda zikawa ndio qualities (sifa) za MTU kuwa viongozi...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021.
Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania.
Pia, Sophia Edward...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana...
Kwa mfuatiliaji mzuri wa michezo hasa riadha, atakubaliana nami kwamba wachezaji watatu wa kitanzania waliofanikiwa kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki 2021 yanayotarajiwa kutimua vumbi kati ya mwezi Julai na Agosti mwaka huu, wanayo nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika michuano hiyo na...
Mikakati mibovu ya Filbert Bayi yakamilika baada ya TOC kumtangaza Thomas Tlanka (kinyume na maamuzi ya Kamati Tendaji) kuwa kocha wa timu ya riadha ya Tokyo. Amekuwa akitumia ukabila kwenye teuzi zake au kuhamasisha ukabila ndani ya Riadha.
Kwa Mfano, mtiririko huko hapa;
Inawezekana vipi...
Maswali unapoenda polisi una shida labda umepoteza vitambulisho au shida nyingine tu, unaulizwa eti kabila gani, dini gani maswali hayo ameyatilia shaka kuwa yana viashiria vya ubaguzi.
Hata Mimi sioni kama yana tija badala yake naona wangehoji eneo analotoka mteja wao ili kuweka takwimu...
Ndugu zangu,
Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani".
Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha...
Tanganyika ilikuwa na majimbo 8 wakati inapata uhuru 1961.
1. Jimbo la Kati
2. Mashariki
3. Ziwa
4.Kaskazini
5. Nyanda za juu kusini.
6. Jimbo la Tanga.
7. Nyanda.
MWAKA 1966 NYERERE aliunda mikoa 15 nayo ni:-
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Pwani .
4. Dodoma
5.Tanga
6. Kigoma
7. Mara
8. Mbeya
9...
Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda sana Wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anaudhi sana huyu. Kila kitu yeye ni Wanyaturu, Wanyaturu mpaka Kero yaaani. Wanyaturu kamshtakini huyu kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20.
Hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa...
Nimemsikiliza Ndugai akilalamika juu ya ajira zilizotangazwa na hasa akijikita kwenye ajira za ualimu.
Malalamiko yake yako kwenye kamati yake ya bunge kwamba hawafuatilii hizi ajira na namna zinavyopatikana. Hili la ufuatiliaji wa kamati ya bunge ni sawa kabisa.
Ila alienda mbali zaidi na...
Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amepotosha umma mchana kweupe kudai ajira za ualimu zilizopita zilitolewa kwa misingi ya kikanda na ukabila kwa sababu ukiachilia mbali jina moja lililojirudia kila ukurasa, mchakato wa ajira zilizopita ulifanyika kwa haki...
Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.