Tunatoa huduma ya kukagua gari kama mtu anataka kununua mathalani kwa magari used.
Hii ni kwa gari ndogo tu.
Gharama ya kukagua huwa ni kuanzia Tsh. 150,000/=. mpaka 250,000/= kulingana na aina ya gari. Pia kama tutakagua gari na ikawa na shida na hujaichukua, unaweza kutuletea gari nyingine...