ukaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mateso chakubanga

    Serikali ifanye ukaguzi shule zote na vituo vyote vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wageni nchini

    Kutokana na wimbi la ushoga na usagaji nchini kusambaa kwa kasi kupitia taasisi za elimu na ustawi wa jamii kwa maana ya vituo vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wawwkezaji wa kigeni, natoa rai serikali ipitie mitaala na mbinu za ufundishaji , vifaa vya ufundishaji, matumizi ya vifaa...
  2. Jidu La Mabambasi

    Polisi Trafiki na Ukaguzi wa Leseni hawafanyi kazi kwa weledi!

    Tumesikia hivi karibuni, tangazo la Polisi Trafiki kupitia kwa Kamanda wa Trafiki Ramadhani Ng'azi kuwa dereva aje na leseni, kitambulisho cha NIDA, kitambulishi cha mlipa kodi TIN, cheti cha afya na shada ya shule aliyisomea udereva! Kwa hayo masharti tu, unagundua kuwa kitengo chetu kina...
  3. wanzagitalewa

    Madudu ukaguzi maalum wa CAG upande wa REA 2015-2020

    UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili; Shirika la Kimataifa la Maendeleo Sweden (Sida). Kwamba Machi 2016, Tanzania na Sida waliingia mkataba wa ufadhili wa...
  4. J

    Fahamu yaliyomo katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Mifumo ya TEHAMA 2021/22

    1. Kutokuwepo kwa Ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa Niligundua kuwa ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa haufanywi katika mfumo wa TTMS. Nilielezwa kuwa muundo wa TTMS haukuzingatia miamala hi sababu haipaswi kuwa na ada zaidi ya gharama za mtandao...
  5. B

    Ukaguzi wa CAG usiozingatiwa ni wa nini?

    Demokrasia inahusu wengi kupewa. Hata hivyo ni busara zaidi walio sahihi kupewa: Kaguzi za CAG zinazofanyika miaka nenda rudi bila hatua zozote za maana kuchukuliwa ni za nini? Ya nini kupoteza pesa kwenye kuibiwa na kwenye kaguzi zisizozingatiwa? Kwa mwendo huu wanaoona ofisi ya CAG...
  6. BARD AI

    TCRA kuanza ukaguzi wa Vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki kwenye Nchi vinakoagizwa

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), John Daffa amesema kuwa ukaguzi utaanza Mei 23, 2023 kwa lengo la kuepusha na kudhibiti uingizaji wa Vifaa vilivyokwisha muda wa matumizi Nchini. TCRA imesema Hatua hiyo ni katika kutekeleza Kanuni zilizoazimiwa katika Mkutano wa Taasisi...
  7. benzemah

    Asilimia 75 ya miradi ya maendeleo Njombe yakutwa na kasoro baada ukaguzi wa Takukuru

    Jumla ya miradi ya ujenzi ya maendeleo 12 kati ya 16 ( sawa na asilimia 75) katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya Taasisi ya upambana na kuzuia rushwa mkoa wa Njombe kufanya ukaguzi. Akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi katika kipindi cha miezi...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Masache Kasaka afanya ziara ya ukaguzi miradi

    MBUNGE MH. MASACHE KASAKA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI MIRADI Mbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya, Mhe. Masache Kasaka ameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo iliyopokea Fedha za Mfuko wa Jimbo. Tarehe 21 Februari 2023 Mhe. Masache Kasaka ametembelea; 1. Kituo cha Afya-Matwiga, 2. Shule...
  9. Aliko Musa

    Jinsi unavyoweza kuandaa fomu za Ukaguzi wa viwanja na ukaguzi wa nyumba kabla hujanunua

    Ukaguzi wa nyumba ni sehemu muhimu sana kwenye mchakato wa kununua kiwanja au kununua nyumba. Fomu ya ukaguzi wa kiwanja au nyumba inatakiwa kuwa na vipengele vifuatavyo;- ✓ Taarifa za nakala za umiliki wa ardhi au umiliki wa nyumba. ✓ Taarifa za usalama wa mazingira ya kiwanja au nyumba. ✓...
  10. SULEIMAN ABEID

    Meatu: Madiwani wamtaka Waziri TAMISEMI afanye ukaguzi maalumu wa fedha za Halmashauri, wanusa harufu ya ubadhirifu mkubwa

    BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
  11. SULEIMAN ABEID

    Madiwani Meatu wamuangukia Waziri TAMISEMI, wataka ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za Halmashauri, wahofia uwepo ufujaji wa fedha za wananchi

    HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
  12. B

    DC Muro na ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani Ikungi

    DC MURO NA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO- IKUNGI. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Muro pamoja na Kamati ya Usalama ya Wilaya wataanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Wilayani Ikungi kuanzia tarehe 01 hadi 04 Novemba, 2022. Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Ilani ya...
  13. BARD AI

    Upekuzi wa kuvuliwa nguo mgodi wa Tanzanite wakomeshwa

    Diwani wa Kata ya Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Salome Mnyawi amesema hivi sasa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini ya tanzanite wanapekuliwa kwa staha tofauti na awali walipokuwa wakivuliwa nguo, kabla ya Wabunge kupinga upekuzi wa aina hiyo. Mnyawi ameyasema hayo kwenye...
  14. BARD AI

    Bunge lashauri ukaguzi wa Chakula kufanywa na TMDA na sio TBS

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeishauri serikali kufanya tathmini kuhusu usimamizi wa Usalama wa Chakula kurejeshwa Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA), ili kurahisisha utendaji Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Aloyce Kamamba, amesema Wizara ya Afya na Wizara ya...
  15. MSAGA SUMU

    Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

    Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa. Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe...
  16. Kisambusa

    LAAC yaagiza ukaguzi maalum stendi mpya ya Moshi Manispaa

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye ujenzi wa stendi ya Kimataifa iliyopo kata ya Mfumuni, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya maelezo ya mradi kujikanganya. Makamu Mwenyekiti wa...
  17. Roving Journalist

    Zanzibar: Ripoti ya CAG, Dr. Othman Abbas Ali abaini madudu, wizi na mauaji. Uongozi wa ZAECA wakalia kuti kavu. Rais Mwinyi akunjua makucha

    CAG Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti ya Ukaguzi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar 2021, Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar, Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti za Ukaguzi wa Wizara, Mashirika pamoja na...
  18. BARD AI

    Polisi kuanza ukaguzi wa mabasi ya Wanafunzi nchi nzima

    Idara ya Trafiki Barabarani imetangaza kuanza ukaguzi wa kitaifa wa mabasi ya shule ili kuhakikisha shule zitakapofunguliwa, wanafunzi wasafiri salama kwenda na kurudi mashuleni. Haya yanajiri siku chache baada ya ajali iliyoua wanafunzi 8 wa Shule ya Msingi King David na watu wazima huko...
  19. K

    Ukaguzi wa magari yaliyotumika kutoka Japan kufanyika hukohuko itasaidia kupunguza figisu

    Ninaishukuru sana Serikali kwa uamuzi ulioufanya kwa ukaguzi wa magari yaliyotumika yanayotoka Japan kufanyika huko huko Japan. Kusema kweli TBS wamejiharibia wao wenyewe, kwa asilimia kubwa hakuna mteja aliyetoa gari yake bila kutoa rushwa. Kulikuwa na figisufigusu ya hapa na pale mara mteja...
  20. Rusumo one

    Ukaguzi wa madaraja ya tumbaku

    Habari za asubuhi wakulima wenzangu wa tumbaku. Mimi ni mkulima na pia nafanya biashara ya mazao yatokanayo na tumbaku Mkoa Tabora na Mpanda. Kwa Sasa tupo kwenye msimu wa soko la tumbaku Kama ratiba ilivyo. Kuna tatizo Sana kipindi hiki Cha upangaji wa madaraja kwakuwa Rushwa imetamalaki kwa...
Back
Top Bottom