Kumetokea sasaiv wimbi la vijana wasiotaka kuoa lakini wana vipato vizuri, wengi wao wanasingizia kuwa bado hawajajipanga, lakini hao hao ndio wanaongoza kufanya uasherati wamekuwa wanawapa wasichana mimba na kuzikataa hizo mimba, lakini pia hata wasipozitoa unakuta wanawakataa hao wanawake...