Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?
Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa...
Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo.
Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
bara
biashara
dar
elimu
elimu ya juu
imeshindwa
kazi
kilo
kubeba
kujiuza
maoni
mtoto
ngumu
sana
serikali
tanzania
tanzania bara
uchafu
ukahaba
vipi
vyuo
zanzibar
zege
Wakuu, naamini mmeakuwa na weekend njema, na mmeianza Jumatatu vyema. Back to me it was boring baada ya kukutana na hiki kisanga.
For the last six months nimekuwa mtu wa kusafiri safiri kidogo ndani ya hii Tz. Napenda sana kampani hasa maeneo ninayotembelea, hii imenifanya kujuana na watu...
Nani asiyefahamu hii ni moja ya biashara kongwe duniani ambayo imeshindwa kufutika toka dahari.
Karne mpaka karne mamlaka mbalimbali duniani zilijaribu kuitokomeza aina hii ya biashara ila zikaambulia patupu, hivyo kufanya ishamiri licha ya marufuku ya serikari mbal;imbali ulimwenguni.
Tanzania...
Kwanini wanaume?
Ni kwa sababu wanaume ndiyo wanunuaji (Wateja)
Kwa kawaida biashara ikikosa wateja muuzaji hubadili bidhaa au kuachana na biashara hiyo kabisa.
Kwenye jamii wanaume ukiwakuta vijiweni hukemea kwa 100% na kupinga ukahaba lakini ukweli ikifika usiku ndiyo kwanza wanakuwa wateja...
Salam ya kazi gani tuna mambo serious ya kujadili, twende streight kwa mada husika.
Duniani kuna mambo mengi ya kushangaza ila pia kuna watu wa kushangaza. Kuna mambo ya kusikitika kwayo na kuna watu wa kuwasikitikia.
Kuna wanaume wanaishi maisha ya huzuni na sonona kuu ila wasijue huzuni yao...
Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya baadhi ya familia kuhama nyumba, Mwananchi limebaini.
Wazazi na walezi wanasema hali hiyo pamoja na...
Leo nimesoma RIPOTI MAALUM kwenye gazeti la Mwananchi kuhusu kushamiri kwa biashara ya Ukahaba hasa eneo la Sinza jijini Dar es salaam suala ambalo limewalazimisha baadhi ya wakazi wa eneo maeneo hayo kuhama makazi na hata kutelekeza nyumba zao kwa kuwa inawawia changamoto kulea watoto.
Wakati...
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imewakamata jumla ya Wanawake na mabinti 16 wanaojihusisha na mtandao wa matendo maovu ikiwemo kuhamasisha ukahaba kwa kucheza ngoma za usiku maarufu kama 'Kibao Kata' bila...
UNGUJA imetejwa kuwa inaongoza kuwa na idadi kubwa ya wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao pamoja na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja ikilinganishwa na Pemba.
Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Zanzibar, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Saada Salum...
Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha biashara ya madanguro maarufu kama madada poa inakoma mara moja Jijini humo.
DC Mganndilwa alitoa agizo hilo wakati wa kikao cha cha baraza la madiwani wa halamashauri ya jiji la Tanga ambapo aliyataja...
Wakuu nimeona nipite na hii sababu naona kama viongozi wetu sometimes wanakua wamekosa kazi za kufanya na kuanza kuyasakama mambo ambayo yapo toka enzi na hata wao pia ni wateja wazuri wa ao watu wanao wahita makahaba.
Kwanza kabisa biashara ya ukahaba kwa jiji la Dar ni biashara ya Muda mrefu...
Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi.
Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni.
Mimi naishauri...
Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini.
Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam.
Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
Ndugu zangu!
Jamii inahitaji kuamshwa kwa kuambiwa ukweli. Waharifu nao hawajabatizwa, kila siku wapo kazini kubuni mbinu mpya za uharibifu.
Sijui limetokea wapi, wala sijui kama ni kiswahili sanifu. Kudanga limeshika kasi mno, na limekuwa rahisi kutumika na rika zote bila ukakasi.
Lakini...
Kwanza kabisa nikianza na.
1: TEMEKE-malaya wa hii wilaya kifup hawana akili hata kwa mihogo ya jero anaeza vua chup** wapo ambao hawana akili wao wako cheap hata kwa buku mbili wao ni kiguru juu ila sio wasafi kivileee
2: KINONDONI-hawa wengi wao ni wanachuo wanajikuta ni expensive sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.