Huyu mpenzi wangu simuelewi kabisa, tangu mchana leo amekuwa mkali kweli na ananiangalia kwa jicho la hasira.
Na ameanza kubadilika baada ya kuniona nakula nazi mbichi tatu, mihogo mibichi sita, na sasa namalizia karanga mbichi sado moja.
Sasa sijui, hapendi nile vitu vya asili; au anataka...