Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka.
Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaa.
Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.
Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi?
Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika...
Njaa isikie kwingine tu.
Ikikukumba unaweza ukamkula hata mkeo [literally 😀].
Sina uhakika na vyakula vya huko kusini mwa Afrika.
Labda nyama ya tembo ni moja ya delicacies pande hizo.
Kutokana na ukame ulioikumba nchi hiyo, serikali yake imetoa ruhusa ya kuchinjwa kwa tembo 200 ili wananchi...
Viongozi wetu wanatuambia sasa mashine 3 kati ya 9 za bwawa la umeme la Nyerere zinazalisha umeme na inavyoonekana mashine 1 hadi 2 zinazalisha umeme wa ziada ambapo ni 235MW kila moja.
Taarifa za TMA zinaonesha kutakuwa na ukame kuelekea mwisho wa mwaka hadi mwanzo wa 2025. TANESCO ili...
Asante Muumba wa Mbingu na Ardhi 🙏🙏🙏
Napenda kuchukua fursa hii kuwasihi sisi sote kama Taifa na wananchi, wanajamii kwa Imani zetu zote tumshukuru Mungu kuzuia Ukamue msimu huu wa mwaka 2023-2024.
Asante Mungu wetu 🙏🙏🙏
Ndimi mwanao
Wadiz
INTRODUCTION:.
Kichwa cha habari cha husika .....
BODY:-
Heri ingekuwa taasisi ya kukusanya tu kama TRA.
Mida hii zile taasisi za kukusanya tu zinafikiria na kutunga activity za kumaliza bajeti tu, daah..!!
Ila kuna zile taasisi ambazo zinakusanya na kurudisha kwa wananchi, dah hela inaingia...
Muda na Nguvu za Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba za Kimedani Adui yako Genius wa Afrika upo ila wa Kutumia Akili Kubwa ya Kuhifadhi Maji mengi yanayozagaa Mkoani Morogoro kutokana na Mvua na Mafuriko ili yaje kuwa Msaada kwa Wakulima Kipindi cha Ukame hatuna.
Jana nimekaa nikatafakari sana;
Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana?
Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢
Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...
Wafanyabiashara wa kitanzania wanaosafirisha mahindi kuingia nchini Kenya wameandamana kwenye mpaka wa Holili kufuatia kuzuiliwa kuingiza shehena za mahindi na Kenya.
Msururu wa maloli umekwama mpakani hapo kufuatia mamlaka za Kenya kuweka kigingi na kuzuia mamia ya maroli hayo kuingia nchini...
Matokeo yake tumeshajisahau na kama Kawaida yetu tuko busy na Kumsifu Mtu kila Saa ( kwa kile ambacho mpaka sasa GENTAMYCINE sijaona alichofanya ), tuko busy Kutongozana na Kubanduana, tuko busy na Suala la Fei Toto, tuko busy na Mambo ya Mpira, tuko busy na Mabadiliko ya Mawaziri, Makatibu na...
With the prospect of a sixth consecutive failed rainy season in the east and Horn of Africa, Kenya's president is hoping the heavens will finally open with the help of a national day of mass prayer on Tuesday.
William Ruto announced the plans for the country's first ever day of prayer on Sunday...
Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda.
Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
Vyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja.
Viumbe wale hawakuwa na kosa lolote na kilio chao hakiwezi kwenda...
Babati. Wimbi la wadudu waharibifu wa mazao maarufu kama “mbirizi” limevamia mashamba ya mahindi ya wakulima katika kata ya Kiru na vijiji vya jirani wilayani Babati mkoani Manyara.
Mkulima wa mahindi kutoka kijiji cha Kiru, Six Salao akizungumza leo Jumanne Desemba 27, 2022, amesema makundi...
Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi
Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme .
Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
Bei ya ng’ombe katika Soko la Pugu kwa wiki inayoishia Novemba 23, imepanda kwa asilimia 6.5 ikilinganishwa na wiki iliyopita, hali iliyosababisha nyama kuuzwa kwa bei ya juu.
Katika kipindi cha mapitio, bei ya ng’ombe wa daraja la kwanza ilipanda kutoka Tsh. milioni 1.9 wiki iliyopita hadi...
Leo tarehe 22/11/2022 TANESCO wametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelezea sababu za mgao unaoendelea nchini.
Kwa habari zaidi soma Press release Hapa chini
====
Shirika la Umeme Tanzania limetangaza upungufu wa Megawati 155 za Umeme wa Maji uliosababishwa na Ukame kwenye Mabwawa ya Kihansi...
Ndugu zangu
Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa.
Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa.
Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.