Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.
TANESCO wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za...
Salaam Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amepata 40% ya bajeti ya Maendeleo. Mkoa bado umeathiriwa na Ukame.
====
TAARIFA FUPI YA MKOA WA KILIMANJARO KWA
MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN,
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TAREHE 22 JANUARI, 2022
1. UKARIBISHO:
Mheshimiwa Rais...
Mifugo 62,593 imekufa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame. Kati ya mifugo hiyo;
Ng'ombe - 35,746
Kondoo - 15,136
Mbuzi - 10,033
Punda - 1,670
======
Hali ya ukame inayoendelea wilayani Simanjiro mkoani Manyara imesababisha mifugo mbalimbali ikiwemo...
Wakuu hali ni mbaya hasa hapa Dodoma,jua ni kali mnoo.wakulima wapo njia panda,hawaelewi kabisa.
Matumaini ya mvua kunyesha yanazid kuyeyuka mithili ya barafu.
Mbaya Zaid Serikali ipo kimya,haitoi taarifa wala muelekeo hasa kukabiliana na balaa la njaa ambalo linatishia usalama wa taifa mwaka...
Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana.
Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno...
Naona mgao wa umeme kwa sasa ni rasmi japo hakuna tangazo la TANESCO. Tulikaa miaka zaidi ya mi5 bila kusikia mgao,na ndani ya muda huo wananchi hasa wa vijijini kufungiwa umeme kwa bei chee kabisa.
Ila sasa toka ameingia ndugu yetu JM kelele zimekuwa nyingi na visingizio ambavyo kwa kweli...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema kutokana na kuchelewa kwa mvua za vuli maji katika mto Ruvu yamepungua na kusababisha upungufu wa lita milioni 70 sawa na 26%
Makalla amewataka wakazi wa jiji la Dar es salaam kutumia maji kwa uangalifu wakati tukisubiri mvua zitakazojaza mto...
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble ametangaza Hali ya Dharura kutokana na Ukame mbaya, akiwataka Wananchi na Jumuiya ya Kimataifa kusaidia wahanga.
Ukame mbaya umeripotiwa sehemu kadhaa Nchini Somalia, na vifo vya watu panoja na mifugo vimeripotiwa. Takriban Raia Milioni 3.5 tayari...
Jana katika ziara ya Makamba alipotembelea mabwawa ya kuzalisha umeme alitoa taarifa akitaka kuaminisha umma kuwa tatizo la upungufu wa umeme nchini na kwa sababu ya ukame! Hii si kweli hata kidogo.
Kwa macho yake mwenyewe ameona bwawa la Mtera lina maji ya kutosha, na kwa kuthibitisha hilo...
Msingi wake ukiwa ni aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo wa kweli wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa ndani na nje ya nje Chama cha Mapinduzi kwa kipindi hiki kifupi tangu kuteuliwa kwake,
Siasa zake za msimamo wa wastani na kuegemea zaidi kwenye kusikiliza...
Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi tunaomba Rais azuie mazao ya chakula yanayouzwa kwa kasi nje ya nchi maana naona mbeleni kuna njaa kubwa inanyemelea nchi yetu.
Ikumbukwe kwamba pamoja na mambo mengine kuna baadhi ya mikoa kama Kagera, Arusha, Iringa, Kigoma n.k. kipindi kama hiki mvua...
Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa
Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao
1. William Lukuvi
Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu...
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja.
Mwenyewe...
Ni wakati ambao mabadiliko ya tabia ya nchi yamechukua nafasi katika ulimwengu huku tukiwa tunashuhudia ongezeko la joto na upungufu wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini. Mazingira yanatuma taarifa kwa ulimwengu kama tunahitaji kuyategemea basi tunajukumu la kuyatunza na kuyalinda.
Viongozi...
Wana Jf,
Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame mkubwa na wakulima vijana hawapati fidia ya vitu walivyovipoteza wakati wanapambania maisha yao na ya...
Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9.
Imekadiriwa kufikia 2030 watu milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali kama hatua za makusudi hazitachukuliwa...
Kada mkongwe mzee Mgaya ametoa rai kwa chama chake CCM kutopuuza tishio la ukame kama ilivyoripotiwa na TMA.
Mzee Mgaya anasema Watanzania hawajazoea njaa na endapo itatokea hali kama ya mwaka 1980 tulipokula ugali wa yanga na ule mweusi wa unga wa mtama basi mustakabali wa CCM utakuwa...
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa ukame kutokana upungufu mvua unaotarajiwa kutokea katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza kunyesha hivi karibuni.
Imebainishwa kuwa katika kipindi cha mvua za Oktoba hadi Desemba mikoa mingi...
Ukame unaolikumba eneo la Kusini mwa Madagascar ni mbaya kuwahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka 40
Shirika la mpango wa chakula duniani linaonya kuwa unaolikumba eneo la kusini mwa Madagascar kwa miongo minne unasababisha njaa na ukame mkubwa
Mkurugenzi wake, David Beasley, ambaye ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.