Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi.
Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...