ukarabati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Serikali kugharamia ukarabati uharibifu wa kanisa Geita

    Hii issue nachukulia kama cheap politics, kujipendekeza na kutafuta huruma Kwa viongo wa dini, Serikali ifanye KAZI iliyopewa na wananchi. Sijaelewa mantiki yake. Mi nimuumini kindakindaki wa Catholic hatushindwi kukarabati kanisa hilo. Tukiamua Kila mbatizwa atoe tu sh 500 ukarabati...
  2. nzahaksm

    Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  3. T

    Tunauomba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukarabati wa uwanja wa Jamuhuri mkoani Morogoro ili mechi za Ligi Kuu zirudi kuchezwa mkoani hapo

    Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita toka dimba la Jamuhuri lilipofungiwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu nchini Tanzania, kutokana na...
  4. B

    Matokeo Law School yafanyiwa ukarabati

    Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi. Tulipo kumeundwa tume ambayo composition yake ni suala jingine. Cha kushangaza kutokea kwenye website ya matokeo ya LST cohort 33 kuna ukarabati mpya! Awali kulikuwa na cases za marks dash (-) kwenye somo moja mtu kafaulu na dash (-) kwenye somo...
  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Wafanyabiashara na viongozi wa ccm kata ya Loya jimbo la Igalula,Acheni kuhujumu ukarabati wa Bara Bara KWA kumhonga mkandarasi!!

    Jilala,machiya na Mihambo ni wazee wa kata hiyo,walisikika wakilalamika Sana,Adili akarekodi ! "Unajua hii Bara Bara ya Mabeshi kuja hapa Loya ni ya kimkakati na tuliambiwa msimu HUU wa kiangazi itakarabatiwa kama KAWAIDA lakini Kila mwaka wanaipapasa tu halafu mvua zikianza kunyesha tu...
  6. Lady Whistledown

    Singida: TAKUKURU kuchunguza Ubadhirifu wa TSH. Milioni 800 za UVIKO katika kukarabati Chuo cha Ufundi Stadi Sabasaba

    Waziri Ndalichako ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufanya uchunguzi katika chuo hicho kuangalia matumizi ya zaidi ya Sh. milioni 800 zilizotolewa kwa ajili ya ukarabati wa chuo. Ubadhirifu alioubaini ni katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi ambavyo vimenunuliwa kwa...
  7. Nyankurungu2020

    January Makamba alituambia alifanya ukarabati wa miundo mbinu ya umeme iliyochakaa. Sasa hizi hitilafu na katikakatika ya umeme inatoka wapi?

    Tuliambiwa na January kuwa miundo mbinu ya umeme ilikuwa imechakaa sana. Hivyo ilihitaji ukarabati wa nguvu. Ukarabati ulifanyika na sasa tunaona hitilafu kibao. Mbaya zaidi umeme unakatika na kurudi ghafla kiasi cha kuharibu vifaa vya umeme vya watu.
  8. L

    Buddha Lucana aonekana tena baada ya ukarabati nchini China

    Buddha Lucana ameonekana tena kwenye Mapango ya Longmen baada ya ukarabati mkubwa nchini China.
  9. Aliko Musa

    Mambo muhimu ya kuzingatia ili kufupisha muda wa ukarabati wa nyumba ya kukuingizia fedha

    Njia mojawapo ya kuongeza thamani ya nyumba yako ya uwekezaji ni kuifanyia ukarabati. Ongezeko la thamani ya nyumba kutokana na ukarabati wa nyumba hutegemea sana maarifa sahihi aliyonayo mwekezaji husika. Hivyo, ili uweze kufanya ukarabati wenye tija zaidi unahitaji kuwa na maarifa sahihi na...
  10. D

    Sioni tija ya ukarabati unaoendelea Barabara ya Bagamoyo (Mbezi - Tegeta)

    Sioni tija yoyote ya matengenezo yanayoendelea barabara ya bagamoyo (Mbezi hadi Tegeta) kufanyika sasa. Kinachofanyika sasa nakifananisha na uharibifu au fursa ya upigaji! Kwanza hakuna mpango kazi mzuri kwasababu wanakwangua barabara na kuiacha barabara katika hali mbaya zaidi kwa mda mrefu...
  11. Aliko Musa

    Hatua 5 za kuanzisha biashara ya mikopo ya ukarabati wa majengo ya kupangisha mwaka 2022

    Mikopo ya ukarabati wa nyumba ni moja ya njia za kutengeneza fedha kupitia uwekezaji wa nyumba za kupangisha unaoweza kujenga utajiri mkubwa. Katika kila halmashauri kuna nyumba za kupangisha. Nyumba zinaweza kuwa ni nyumba za makazi, nyumba za matumizi mseto (mixed-use properties) na nyumba za...
  12. Nyendo

    Serikali, lini kituo cha Daladala Kawe kitafanyiwa ukarabati?

    Kawe ni sehemu yenye wakazi wengi na pia eneo hilo hutumiwa na watu wanaosafiri kutoka sehemu mbalimbali kwa katika kusaka riziki zao. Cha kusikitisha, Kawe haina kituo cha daladala cha kueleweka. Kwa sasa magari husimama pembezoni mwa uwanja wa Tanganyika Packers, sijui kama ndio eneo sahihi...
  13. Aliko Musa

    Mambo 8 ya kuzingatia kwenye biashara ya utoaji wa mikopo kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za kupangisha

    Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo. Njia hii inahitaji uwe na maarifa sahihi na taarifa sahihi za uwekezaji kwenye ardhi...
  14. Idugunde

    Awamu ya tano Tanesco hawakukarabati miundombinu ya umeme, sasa mmehitimisha ukarabati tusikie mgao tena

    Mmnetangaza wenyewe kuwa mmehitimisha ukarabati wa miundo mbinu ili umeme upatikane vizuri. Tunataka tusisikie habari ya mgao na umeme kukatika katika hovyo imeisha kama enzi za awamu ya tano.
  15. J

    Ukarabati wa vinu vya gesi Songosongo wafikia 30%, mgao wa umeme umepungua

    Msemaji wa Tanesco ndugu Mwambene amesema ukarabati wa vinu vya gesi huko Songosongo umefikia 30% kufikia leo. Mwambene amesema ndani ya siku 10 hali ya umeme itarejea kama kawaida kwani hata sasa mgao umepunguzwa sana. Source: ITV habari
  16. 3 Angels message

    Mkuu wa Wilaya Ilala, ahadi yako ya ukarabati wa hili daraja lini itatimia?

    Kutokana na athari za mvua zile za mwanzo za mwezi Desemba mwaka jana daraja lililopo eneo la Mwanzo Kata ya kifuru-Kinyerezi lilikatika na kuharibiwa vibaya na hivyo kuleta changamoto kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo. Mkuu wa wilaya ya Ilala alifika kwenye Desemba 17 kujionea athari na kuahidi...
  17. Idugunde

    RC Makalla: Rais Samia atoa Tsh bilioni 28 kukarabati soko la Kariakoo

    RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO. - Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara - Asema Wahanga wa soko la Kariakoo Na soko Dogo watapewa kipaumbele kurejea soko litakapokamilika. - Asema Mkandarasi wa...
Back
Top Bottom