ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Kazi na Utu: hii slogan itawaondoa watu waliotumiwa kudhalilisha utu kazini

    Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho. Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
  2. JanguKamaJangu

    Kati ya Januari - Februari 2025 simu 169 zimepigwa kuripoti matukio ya Ukatili kwa Watoto Nchini

    TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI Dar es Salaam, Machi 11, 2025. Ndugu waandishi wa habari Tarehe 26 Februari 2025 ziliripotiwa taarifa kupitia vyombo vya habari za kufariki kwa...
  3. Inside10

    Video: Kijana afunguka alivyofanyiwa ukatili wa kutisha na mwenyekiti wa kijiji Uleling'ombe, kilosa

    Tazama video inasikitisha sana... Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni! Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha kuhusu vijana wawili wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha na Mwenyekiti wa Kijiji cha Uleling'ombe...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

    Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule. Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu...
  5. MBOKA NA NGAI

    Serikali ya DRC, kwa ukatili huu, inastahili nini???

    https://x.com/andrewmwenda/status/1893355999680921990?s=46 Watu wakichukua silaha zao, wengine wanavimba na kutunisha misuli.
  6. R

    Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

    Sidhani kama dini inataka hivi. Oneni wenyewe. Aione Dkt. Gwajima D
  7. sanalii

    Kuna ukatili unafanyika kwenye wanyama wanaofugwa kama Mbuzi, Ng'ombe

    Hivi kwa jua hili, mbuzi au ng'ombe anafungwa juani kuanzia asubuhi hadi jioni. Hii sio sawa kabisa, kama mtu hawezi mkatia majani basi aende akachunge. Unakuta mnyama anahema mpaka unamuonea huruma. Na pengine hata maji hawapewi hadi hio jioni. Hili suala ni la kuliangalia, hawaviumbe nao...
  8. Father of All

    Hivi Wakenya wanavyopigania haki, kama watanzania tungekuwa wao, huu ubabaishaji, uchawa, ukatili, na ukale vingeendelea kama ilivyo?

    Wakenya walio wengi kuna kitu wanatuzidi. Si wanafiki wala woga linapokuja suala la kupigania haki zao. Wala si woga wala wenye sura mbili. Wanajua wanachofanya. Siyo wala makombo au watu wa kujipendekeza. Siyo watu wa kusifia na kutukuza ukumbaff na uoza. Watanzania tujifunze kuwa wakweli kwa...
  9. S

    WATOTO WANAOFANYIWA UKATILI, JE WANAPATA MSAADA ILI WAPONE?

    Jiulize mtoto 1. Aliyebakwa 2. Aliyelawitiwa 3.Aliyetelekezwa na wazazi 4. Aliyekataliwa 5. Aliyeshuhudia baba akimpiga mama. 6. Aliyeshuhudia mama akimpiga baba 7. Aliyeshuhudia baba na mamá wakipigana 8. Aliyeshuhudia baba na mamá wakitukanana,kutoleana maneno machafu n.k 9. Aliyeshuhudia baba...
  10. Ghayo TheMongo Barbarian

    Andiko hili katika Biblia ndio kifungu katili zaidi kuwepo Duniani. Je, ni kweli Mungu aliamrisha ukatili wa namna hii?

    Mzuka Wana jamvi. Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema. Kwa wasiojua Kiswahili au Foreigners nimewarahisishia kazi.
  11. Z

    Papa Francis asema kinachoendela huko Gaza sio vita bali ni ukatili unaofanywa na Israeli dhidi ya watoto

    Papa Francis alaani vikali kinacho iendela huko Gaza na kuilamu Israeli kwa ukatili wanao ufanya dhidi ya watoto. Amesema kinacho fanywa na Israeli sio vita bali ni ukatili dhidi ya watoto, amesema jambo hilo linamuumiza sana roho yake kuona kila kukicha watoto wanauliwa kwa makombora ya...
  12. Genius Man

    Serikali inapaswa kuona umuhimu wa kuweka sheria na utaratibu mzuri kwaajili ya watanzania wote wanaofanya kazi viwandani ili kuwalinda na ukatili

    Watanzania maskini wengi wao wamekuwa wakipitia wakati mgumu na manyanyaso wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wanaofanya kazi viwandani hali hii haikubaliki na inaminya haki za msingi za binadamu. kuna ushahidi mkubwa kuwa kuna watanzania wengi wananyanyasika viwandani na kufanyishwa kazi...
  13. Sodoku

    Jamii ya Kiarabu ni watu wakorofi, washari, wenye ukatili na wasio na utu?

    Angalieni na fanyeni tathmini. Teams zetu za Simba na Yanga wakienda cheza. Morocco, Tunisia,Algeria,Egypt, Libya. Kisha wakienda kucheza Botswana,Zambia,Congo,Zimbabwe, nk Lakini angalieni pia matches hata zinazochezwa hapa Tz na teams toka kwa nchi za Kiarabu. Leteni majibu.
  14. Roving Journalist

    Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar: Acheni kuchukua fedha ili muwafiche wanaowafanyia ukatili Watoto na Wanawake

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa dhidi ya matukio ya Ukatili hasa kwa Watoto na Wanawake na pia Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano zaidi kwa Mamlaka zinazohusika kukabiliana na changamoto hiyo. Hayo yameleza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Taifa ya...
  15. K

    Dhana ya "Wanaume hawalii" ina madhara yake

    Dhana kwamba "wanaume hawalii" ni mtindo wa kijamii ambao unaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ya kihisia na ustawi wa wanaume. Wazo hili linadumisha dhana kwamba wanaume lazima wazuie hisia zao, hasa udhaifu, ili kufikia viwango vya jadi vya uanaume. Kwa muda, mtindo huu unaweza kusababisha...
  16. Waufukweni

    Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  17. Nyani Ngabu

    Ukatili wa Bashar-Al-Assad ni wa kiwango kingine kabisa!

    Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake. Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso. Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu [iron press] mpaka wanakuwa kama chapati! Nisome tena: kulikuwepo na mashine...
  18. Roving Journalist

    ACT: SMZ Isimamie Sheria ya Ukatili na Unyanyasaji (Gender Based Violence) ili kuondosha matukio ya udhalilishaji na Ukatili wa Kijinsia

    SMZ IHAKIKISHE INASIMAMIA SHERIA YA UKATILI NA UNYANYASAJI (GENDER BASED VIOLENCE) Ndugu wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru, Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia hali ya uzima wa afya, lakini pia niwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu wakuja katika mkutano huu leo...
  19. Roving Journalist

    DC Farida Mgomi: Vitendo vya ukatili wa Kijinsia vinarudisha nyuma Ustawi wa Jamii na Uchumi wa Taifa

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa wananchi wa Wilaya ya Ileje kuungana na kushirikiana kwa pamoja kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwa kukemea na kushirikiana na Vyombo vya Dola kutoa taarifa ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ili kuhakikisha jamii inabaki salama dhidi ya...
  20. Lady Whistledown

    Maadhimisho ya 16 Days Of Activism: tuungane kuwalinda Wanawake na Wasichana dhidi ya Ukatili

    Leo tunahitimisha Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kipindi muhimu kilichotumika kupaza sauti dhidi ya ukatili unaowaathiri mamilioni ya watu duniani, hususan wanawake na wasichana. Ukatili wa kijinsia sio tu changamoto ya mtu binafsi bali ni tatizo la kijamii linaloathiri...
Back
Top Bottom