Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) Juni 2011 hadi Machi 2012;
Kuna changamoto kubwa katika Jamii za Zanzibar kwenye kutatua matatizo ya ukatili wa kijinsia.
Jamii zinagubikwa na usiri wa kueleza au kuyafikisha masahibu hayo mbele ya sheria na vyombo vya usalama...
Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, ukatili wa kijinsia barani Afrika umeongezeka maradufu katika kipindi hiki cha mlipuko wa UVIKO-19.
Kwa mfano imeelezwa kuwa huko nchini Kenya wanafunzi takribani 4000 walipachikwa mimba wakati shule zilipofungwa kipindi cha zuio la kutoka...
Jioni baada ya kutoka shule, Faraja* aliingia ndani na kuona jinsi vyombo vilivyokuwa vimevurugwa na kuvunjwa. Maumivu ya kumbukumbu za ugomvi wa wazazi wake usiku kucha wa jana yalimfanya ashindwe kuvumilia na kuangua kilio. Kwa bahati mbaya, mama yake hakuwepo nyumbani kumfariji, kwani alikuwa...
Nimekuwa mpenzi wa kutumia usafiri wa basi la Shabiby mimi na familia yangu kwa miaka zaidi ya mitano
Dar, Dodoma, Dodoma Arusha.
Ila leo kwa yaliyo nikuta kupitia dereva huyu, imeniuma sana
Tulikata tiketi siti namba 4 kwa ajili ya mke wangu kusafiri toka Arusha kuelekea Dodoma ni katika...
Wanajukwaa, nadhani serikali yetu inabidi iangalie kwa umakini mkubwa haya mambo ya ukatili ndani ya hii nchi. Kuna mambo ya ajabu mno.
Mara kwa mara naenda Mikocheni kumtembelea mchumba wangu anayeishi Mikocheni Baraka Plaza Apartments, na mara nyingi nawakuta vijana wale wale waigwa lindoni...
Katika jamii zetu yapo makundi Mbalimbali ambayo yanakumbwa na unyanyasaji, Ubaguzi pamoja na ukatili. Licha ya kuwa wapo watu wengi ambao wankumbwa na hali hiyo ila nitajikita katika makundi maalumu. Makundi hayo yapo katika mgawanyo huu:
Makundi haya kila kundi linachangamoto yake na...
Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu bila ridhaa yake na kumletea madhara mbali mbali kimwili, kiakili au kisaikolojia. Na huweza kutokea kwa wanawake, wanaume, wavulana na wasichana. Wanawake na watoto ni makundi ambayo yameonekana kuathiriwa zaidi na ukatili wa kijinsia kuliko...
Sio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali Kiba. Mimi ni mpenda haki kwahiyo nimeona sio sawa kukaa kimya mtu anapoonewa.
Kwa muda mrefu...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki.
Mi naomba mnifafanulie...
Huu ni wendawazimu. Ingekuwa hivi kule Magerezani kusingekuwa na wafungwa hata mmoja. Wote wangekuwa wameomba msamaha na wakasamehewa.
Wanasiasa wezi huwa wanaamini wao si Watanzania wa kawaida. Huamini wao ni watu special so wanahitaji special treatment. Huku ni kuwatusi Watanzania.
Kauli za...
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini baada ya kukamatwa akiuza Cd na Pamoja na Flash ambazo zilikuwa na filamu kutoka nchi Jirani ya Korea ya Kusini.
Lee pamoja na familia yake walipigwa risasi uwanjani...
Hii ina mantiki kubwa. Ukatili ulio mwingi walifanyiwa wafuasi wa Chadema, ni vema CHADEMA ikaratibu ukusanyaji wa ushahidi dhidi ya Sabaya ili haki itendeke. Waandae waathirika waweze kutoa ushahidi wa kweli na si vinginevyo. Walindwe dhidi ya vitisho vya Sabaya na genge lake etc........
Salaam wana MMU
Ukatili wa kingono kwa watoto umezidi kuongezeka kadri siku zinavyokwenda. Pamoja na juhudi za serikali na jamii bado vitendo hivyo vinaendelea.
Adhabu mbalimbali hutolewa kwa wahusika wanaotenda ukatili huo lakini bado hazijaweza kuzuia mwendelezo wa vitendo hivyo.
Kila siku...
Habari za muda huu waheshimiwa
Jana nimeona video clip inayomuonyesha Mwanaume aliyekatwa masikio baada ya kufumaniwa akizini na mke wa mtu ikisambaa kupitia mitandao ya kijamii, video clip hiyo ilisindikizwa na maneno ya Wakili (nimemsahau jina) aliyekuwa akifafanua kuwa kosa la kumfumania...
Wanaume wanalia, nyumba chungu haikaliki, hawakupigi (Ni wachache ndio hupiga wanaume) lakini cha mtema kuni hukiona.
Wananyumwa unyumba, wananuniwa, wanasimangwa, wanafyonzwa, wanajibiwa majibu ya shombo na kero nyingi mno kutoka kwa wanawake.
Wanaume hawana pa kusemea, wamejikuta wakitafuta...
Nina kazi ya deadline kesho na leo siku nzima umeme hakuna tangu saa tatu asubuhi umerudi saa moja. Na siyo leo tu ,Its been a week now, kama kujiajiri nimejiajiri LUKU nanunua, daah haya bana naona Waziri anaringa tu kwenye media kwamba tuna excess ya umeme sasa kama shida ni matengenezo si...
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Dk Dorothy Gwajima ameutaja Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania kuongoza kwa kuripotiwa matukio 2618 ya ukatili wa wanawake mwaka 2019/20.
Dk Gwajima amesema hayo leo Jumatano Februari 24, 2021 wakati akifungua kongamano la chama cha maofisa maendeleo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.