ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Tabia za Watoto kufanyiana ukatili inakua, Watanzania wenzangu tuamke, nani wa kulaumiwa hapa

    Inawezekana hii haizungumzwi sana katika vyombo vya habari kwa kuwa wanahabari wengi wanatazama kinyume chake lakini ukweli ni kuwa kuna tatizo limekuwa likiibuka la watoto kufanyiana ukatili wao kwa wao. Tunajua kuwa asilimia kubwa ukatili kwa asilimia kubwa umekuwa ukifanywa na watu wazima...
  2. JanguKamaJangu

    LHRC: Vijana waambiwa kutelekeza wajukuu kwa wazee wao wawalee ni ukatili

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kwamba katika Ripoti ya Haki za Binadamu 2021, imebaini ongezeko la ukatili wa vijana dhidi ya wazee kwa kuwatelekezea wajukuu, kwa madai wapo mijini kutafuta riziki. Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga ameyasema hayo hivi karibuni Mkoani...
  3. BigTall

    Ukatili wa kijinsia Arusha bado upo juu, wasichana ni waathirika wakubwa

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto Mkoani Arusha bado vipo juu, hivyo elimu zaidi inatakiwa kutolewa kuhakikisha jamii inaepukana na vitendo hivyo. Aidha, takwimu za mwaka 2021 zinaonyesha kuwa kwa Mkoa wa Arusha jumla ya wanawake 4,510 walifanyiwa ukatili wa kijinsia, huku...
  4. JanguKamaJangu

    Wakristo duniani washerehea sikukuu ya Pasaka, Papa alaani ‘ukatili’ Nchini Ukraine

    Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo Aprili 17, 2022 wanasherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ameutumia ujumbe wake wakati wa misa ya mkesha...
  5. kavulata

    Uchumi kupanda katikati ya matatizo ya wadau ni ukatili dhidi ya wanaokutegemea

    Familia inatumia fedha zaidi kutatua changamoto itakayompata mwana familia kama vile kwenye ugonjwa, msiba, ada, kesi, kubomoka kwa nyumba, nk. Kwenye matukio kama haya kipato cha familia kitapungua kidogo ili kuhudumia mwanafamilia apate nafuu. Kama baba anaendela kuvua samaki baharini kukuza...
  6. BigTall

    Serikali: Kuna matukio 19,726 ya Ubakaji Tanzania tangu Mwaka 2019-2022

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema takwimu za matukio ya vitendo vya ukatili Nchini vilivyoripotiwa kwenye vituo vya Polisi kuanzia mwaka 2019 hadi Machi, 2022 ni 27,838. Masauni amesema hayo leo Aprili 6, 2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge la Viti Maalum...
  7. MAHANJU

    DC Jerry Muro acha kupotosha umma kwa kutetea Ukatili wa Elibariki Kingu

    Ndugu yangu Jerry Muogope Muumba wako na kama wewe ni mkristo nenda katubu achana na roho ya Kinyama kiasi hiki. Jerry Muro unakuja na Balaah Blaah za kipuuzi eti CHADEMA wanakusanya Pesa kwa kusingizia kua wana mgonjwa anayeitaw Petter kama kisingizio. Achana na roho ya Kishetani Jery...
  8. M

    Rafiki yangu amefanya ukatili wa the West, amempiga Sanctions mchepuko wake Kama Putin, anahaha

    Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake. Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali...
  9. matunduizi

    Vita ya UKRAINE ukilinganisha na IRAQ inaonyesha Ukatili wa US/NATO na upendo wa Urusi

    Kipigo cha Iraq wakuu kilikuwa ni cha kikatili sana. Ziliruka ndege mamia juu ya Anga Siku ya kwanza zikadondosha mabomu kama mvua Baghdad. Hata sisimizi wa Iraq walijua kuna wanadamu katili. Uchunguzi wa UN ulipuuzwa. Anapigwa MTU bila kuonyesha uhalali wa upigwa. Na dunia nzima...
  10. MAHANJU

    Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Hi Kamanda! Kamanda Malisa pole na hongera sana kwa kazi ya Utume unayoifanya ya kuihudumia jamii ya Watanzania. Mungu akulipe kila lililo jema. Kamanda Malisa mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Singida Wilaya ya Ikungi kutoka Kijiji cha Minyughe. Tuna ndugu yetu aitwaye Petter Mtinangi ambaye alikua...
  11. JanguKamaJangu

    Serikali yaombwa kuingilia kati unyanyasaji kiwanda cha SBC Tanzania, Uongozi wagoma kufafanua

    Said Ibrahim Stawi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), Tawi la SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), ambaye aliachishwa kazi kwa kile alichodai ni harakati zake za kupigania maslahi ya wafanyakazi kiwandani hapo amesimulia...
  12. John Haramba

    Ukatili wa kijinsia ni ‘sumu’, Watanzania wapewa somo la utayari wa kutoa taarifa

    Jamii imetakiwa kuwa tayari kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo ukeketaji kwa watoto wa kike ili kuleta usawa. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju wakati akifungua Kongamano la Kitaifa...
  13. John Haramba

    SIKU YA WANAWAKE: Wapaza sauti, uongozi, ukatili kingono kwa wanawake

    Wakati wanawake wakiadhimisha siku yao leo, wadau wamesema rushwa ya ngono ni tatizo linalotafuna ndani kwa ndani, huku wakitaka wanawake zaidi kuongoza katika sekta mbalimbali nchini. Baadhi ya wadau hao ni Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini...
  14. beth

    Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana

    Kundi la Wataalamu 36 wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa limesema Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia kwa kiasi kikubwa dhidi ya Wanawake na Wasichana Wanawake na Wasichana wamekuwa wanapinga Kanuni mbalimbali dhidi yao tangu Taliban kuchukua madaraka Agosti...
  15. Trainee

    Kibaigwa; Muokoeni mtoto Filemon anayeteswa na mama yake

    Huyu mtoto anaishi na MAMA YAKE MZAZI pale Kibaigwa sehemu inaitwa Mbagala, anasoma chekechea. Mama huyo anamtesa sana mtoto huyo na haambiliki hata kwa mbali mpaka majirani wameamua kuwa wakimya na kubaki kuangalia tu jinsi mtoto huyo anavyoteswa. Wanasema mama huyo ana 'mdomo mchafu' sana...
  16. Pantomath

    Leo nimeelewa ni kwanini watu huwafanyia wezi ukatili

    Kwanza nianze kwa kusema, kama adhabu za dhambi zinatolewa kwa uzito, basi baada ya Muuaji basi angefuatia mwizi/kibaka na wote katika kundi hiloo. Sasa nimeelewa ni kwa nini watu hua na roho za kikatili juu ya watu hawa, ni kwa maumivu waliopata. Mtu unatafuta pesa kwa njia halali na ngumu...
  17. D

    Madhara ya joto kisaikolojia! Ni moja ya cha chanzo cha migogoro na ukatili usiotarajiwa

    Joto ni moja ya kichocheo kikubwa sana kinachoweza kuharibu mfumo wa kufikiri. Wataalam wa saikolojia wanathibitisha kupokea migogoro mingi sana ya ndoa kipindi cha joto Kali la hali ya hewa! Ukiachilia mbali wanasaikolojia! Taarifa za kipolisi zinaeleza matukio mengi ya kikatili huongezeka...
  18. Bondpost

    Ukatili wa kijinsia kwa wanawake dhidi ya wanaume

    Wanabodi nimekutana na hii habari kutoka ITV kiukweli imenifanya nimfikirie sana namna ambayo jamii inazodi kuharibika. Wanawake wamekuwa wakilaumu wanaume kuwa wanawanyanyasa, sasa huu UKATILI ni wa mwanamke dhidi ya mwanaume. Kuna mwanamke amemwagia maji ya moto mumewe ambae ni mwalimu huko...
  19. vivaforever

    Magereza yenye sifa mbaya zaidi duniani

    01. Gitarama Prison, Rwanda Hili ndio gereza lenye msongamano mkubwa wa wafungwa Ulimwenguni huku likichukua wafungwa wapatao zaidi ya 7,000 huku lenyewe likiwa lina uwezo wa kuchukua wafungwa 400 tuu. Wafungwa wengi ndani ya gereza hili ni washukiwa wa Mauaji ya Kimbari (Rwandan Genocide)...
  20. D

    Wazazi Tusifumbie macho mambo haya! Mwisho wake huchangia ukatili wa kinyama (kuna wajibu, haki na sheria)

    Nilipokuwa mdogo niliamini Jeshi la Polisi ni taasisi inayo mulika kila mahali! Niliamini Polisi ni Dubwana kuuubwaa lenye kuona yaliyopita, yaliyopo na yajayo! Hii Imani ilinifanya nivimbe kichwa na kutembea kifua mbele! Sikuogopa ujambazi kwasababu niliamini jeshi lipo! Nilikatiza popote...
Back
Top Bottom