ukatili wa kijinsia mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: Kumsomesha binti ili uje umuoe ni ukatili kijinsia

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amesema si sahihi kwa wanaume kuwasomesha mabinti kwa kigezo cha kuja kuwaoa watakapokuwa wakubwa. Dkt. Gwajima alitoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa visa vingi vya mauaji, vingine vikidai kuwa ni wivu wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Siku hizi maneno kama "umekonda sana" au "umenenepa sana" yamekuwa kama salamu kwenye comments

    Wakuu Hivi inakuwaje mtu unajipost tu ghafla watu waaanza kusema "oooh mbona umeisha hivyo, huli?" "Mbona umenenepa sana?" "Duuh mbona umebaki kichwa tu?" Hii tabia inakera sana wakuu ifikie mahali tuachane na hizi comments zinaathiri kisaikolojia na wakati mweingine zinamuondolea mtu...
Back
Top Bottom