Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amesema si sahihi kwa wanaume kuwasomesha mabinti kwa kigezo cha kuja kuwaoa watakapokuwa wakubwa.
Dkt. Gwajima alitoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa visa vingi vya mauaji, vingine vikidai kuwa ni wivu wa...
Wakuu
Hivi inakuwaje mtu unajipost tu ghafla watu waaanza kusema
"oooh mbona umeisha hivyo, huli?"
"Mbona umenenepa sana?"
"Duuh mbona umebaki kichwa tu?"
Hii tabia inakera sana wakuu ifikie mahali tuachane na hizi comments zinaathiri kisaikolojia na wakati mweingine zinamuondolea mtu...