ukatili wa wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wanaume wengi kukutana na ukatili wa wanawake siku hizi?

    Ni mwanaume aitwae Omary Issa (32) mkazi wa kata ya Twangoma wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam, akiwa anamfunga nepi mtoto wake wakike mwenye umri wa miezi tisa (9), ikiwa ni baada ya mama wa mtoto huyo kutoroka na kwenda kusikojulikana, siku chache tangu akutwe na ujumbe kwenye simu yake...
  2. ITR

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

    Kuna midume humu kazi yao ni kijipendeka kwa wanawake kwa kujifanya watetezi wa wanawake hasa kwenye mada zinazo ongea negative kuhusu wanawake, tena wengine wanafika hatua za kuanzisha mpaka thread za kuwatetea ,nataka niwaambie mnakera sana. Mm nimeanza kuifuatilia JF mwaka 2017 na nikaja...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake ni wakatili kuliko wanaume toka enzi na enzi

    Huo ndio ukweli, msiwe mnatishwa na machozi ya wanawake hata siku moja. Mwanamke ni mtu katili sana ambae anaweza kukushangaza matendo yake hadi ukaduwaa! Fikiria mtu anabeba mimba bila kulazimishwa halafu baadae anaitoa hiyo mimba, au anazaa kabisa baadae kwa mikono yake anayonga na kuua...
Back
Top Bottom