Just imagine
Nchi Ina miaka 62 ya uhuru Bado Inagawa umeme kwa wananchi. Wewe mtanzania mwenzangu unayepiga kura kuchagua majitu yanayojiita viongozi. Hivi unaonaje? Kweli hii ni Sawa kugawiwa umeme?
Wananchi Wana viwanda, butcher, machine za kusaga, vituo vya radio, saloon, machine za mbao...