Ni kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka....
Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi ndiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama...
UVUMILIVU NA USIRI WA SIS OSINACHI NWACHUKWU UNAMUONESHA MAMA WA KIAFRIKA NA KELELE ZA UKIMYA.
Mama wa Kiafrika anapitia safari iliyojaa kelele za ukimya zinazomtaka awe mstahimilivu na kikubwa zaidi awe msiri juu ya madhila yote anayoyapitia katika KIFUNGO cha staha. Siandiki kumtetea Mwanamke...
Baada ya kimya cha muda mfupi, hatimayeJada Pinkett Smith amevunja ukimya baada ya tukio la mumewe kumpiga kibao Chris Rock kwa kumfanyia mzaha katika usiku wa utoaji wa Tuzo za heshima za filamu, maarufu kama Oscars. Katika chapisho fupi katika mtandao wa Instagram, mwigizaji huyo aliandika...
Freeman Mbowe kwa sasa ni mtu huru kama ilivyo kwa jina lake, kesi yake ilifutwa na Mahakama Kuu, mmoja wa watu waliokuwa wakipiga kampeni ya kuhoji juu ya kesi aliyofunguliwa Mbowe na wenzake watatu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Lissu alifikia hatua ya kuomba kuonana na Rais...
Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku
====
Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
Habarini ndugu watanzania wenzangu. Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, kumekuwa na ukimya juu ya makusanyo ya tozo kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu tofauti na hapo awali tulipotangaziwa jumla ya makusanyo yake.
Nini kimebadilisha hadi kuwa na ukimya (usiri) huo na ilihali...
Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei, ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.
Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
Mada Fikirishi
Katiba yetu inaongelea kifo cha Rais akiwa madarakani lakini haiongelei Mgombea Urais ambaye tayari ni Rais akifa akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Natoa mfano ili uelewe kwa urahisi kwamba JPM angekufa akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu Katiba haisemi kitu gani kifanyike...
Nimesikitika sana kuona @dr_chriscyrilo yupo ndani siku 3 lakini hakuna main stream media iliyojishughulisha kuripoti zaidi ya @bbcswahili. Yani media za Ulaya zinaumizwa na matukio ya uonevu na zinaonesha kujali zaidi utu wetu kuliko media zetu? Seriously? Mnataka nani "akamatwe" ndio mripoti...
Nawasalimu Wakuu,
Nianze pasipo kupoteza Muda.
Kauli ya Serikali ya kusema kua Watanzania wamekubali Tozo haina tofauti hata kidogo na ile kauli yao waliyo toa wakisema Watanzania hawataki katiba mpya wakisema kipaumbele chao ni Maendeleo.
Ifikie hatua tuseme kua tunaburuzwa sana kwa ukimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.