Habarini ndugu watanzania wenzangu. Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, kumekuwa na ukimya juu ya makusanyo ya tozo kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu tofauti na hapo awali tulipotangaziwa jumla ya makusanyo yake.
Nini kimebadilisha hadi kuwa na ukimya (usiri) huo na ilihali...