Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua...
Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema, bado Tanzania inakabiliwa na ukiukwaji wa haki za binadamu hapa nchini hasa katika maeneo ya uhuru wa habari na vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza.
Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam Oktoba 5, 2021 na Mratibu wa THRDC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.