Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema, bado Tanzania inakabiliwa na ukiukwaji wa haki za binadamu hapa nchini hasa katika maeneo ya uhuru wa habari na vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza.
Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam Oktoba 5, 2021 na Mratibu wa THRDC...