Kumtemesha mtu tonge mdomoni au haki za watu anazo hodhi haijawahi kuwa bila mpambano.
Maridhiano hayawezi kutokea mitandaoni. Tunayo ya kujifunza kutokea Zanzibar walikofanikiwa kuionja tamu na chungu ya maridhiano:
Shikamoo Zanzibar. Ama kweli tuna mengi ya kujifunza kwako.
Pumzika kwa...
“Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima”.
Habari zenu, ndugu wana Jamii Forums, haswa jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu sote tu wazima wa afya.
Andiko hili litaangazia juu ya ukombozi wa fikra.
Kama ifuatavyo;
Mtaji wa kwanza wa Maendeleo binafsi ni Ukombozi wa...
Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people.
Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s
Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote.
Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana.
Pendekezo vyama vya upinzani makini...
Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya kuhifadhi Quraan akiamini atakuwa mshindi wa kwanza na kujipatia pesa ambazo atazitumia kununulia...
Andiko hili linaelezea suala la ukombozi wa kifikra kwa Watanzania na Waafrika kwa ujumla kama nyenzo ya kujikomboa kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni.
Jamii ya watu wasiojiamini, wenye akili iliyofungwa, wenye kuwategemea watu wengine wawaletee maendeleo, wasioweza kufikria hatima yao...
Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala.
Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania.
CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi.
CCM ni chama kilichotukomboa na tuliimba sana tutakilinda mpaka kufa.
Kama bado upo hai, na unakilaani hiki...
Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.
Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm
Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani...
(Nyumbani kwa mzee Jingo sebuleni)
Mzee Jingo : Hivi Chuma utakaa nyumbani mpaka lini, kijana mwenye nguvu huna kazi unashinda vijiweni
Chuma : Mzee unatambua wazi kazi hamna nikipata kazi nitafanya
Mzee Jingo :Vijana siku hizi hamtaki kuwajibika unashindwa ata kulima !
Chuma : Sasa nilime...
Yawezekana waliopewa nafasi nakutuongoza kwa haki nakupewa nafasi yakuweka misingi ya haki na utawala wa sheria nchini wanaamini Wana muda mrefu wakula salary,posho na kutembelea mashangingi kupitia Kodi zetu.
Naamini Mwenyenzi Mungu alipowapa nafasi yakuosoma wakawa na mawazo mapana dhidi ya...
Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu kumewafanya watu wengi wakumbuke mchango wake katika ukombozi wa eneo la kusini mwa Afrika, na...
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Napenda nimshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi kwa kuendelea kuliongoza Taifa letu bado ninaamini Taifa letu lipo mikononi mwake Mungu. Mungu wetu aendelee kututia nguvu sisi kama taifa...
Wana Jf
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati.
Ninaposema Dr. Magufuri ni Nabii wa Africa aliyetumwa kuikomboa Africa mara ya pili ninamaanisha kuwa Kwa Yale mahubiri yake ya kutaka Africa tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua...
Salaam Wana JF,
Nianze kwa kusema kuwa wale wanaodhani Bunge letu ni Jumba la Sanaa wanakosea kimantiki na pengine hawajui Majukumu ya Mhimili huu na mipaka yake, Bunge lina utakatifu wake na upekee katika ustawi wa haki na Maendeleo kwa watu, Bunge Ni moyo wa nchi kiutawala.
Hatahivyo Kwa...
Idadi kubwa ya mawaziri akiwemo makamu wa rais na wabunge wa mlengo wa serikali wamepoteza ubunge, Waganda wameamua, wamefanya aina ya maamuzi tuliyofanya zaidi ya miaka 20 iliyopita, ukombozi wa pili unawajia, tuendelee kuwaombea ili kama ikitendeka kweli, Museveni asigome kuachia. Upokwezaji...
Asalam ndungu zangu!
Nimepitia mitandao naona suala la Bandari ya Bagamoyo limeibuka upya. Limeibuka kwamba limepata ufunmbuzi na litatimia. Faida na hasara zake.
A) Faida
1. Uhamishaji wa teknolojia kwa haraka.
Tuliambiwa Kuna viwanda takribani 700 kwenye ukanda wa Bandari na maeneo jirani...
Hakuna mtu muelewa na mpenda haki asiyetambua kwamba Serikali imefanya ukatili wa Hali ya juu kwa kitendo cha kuondoa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
Ipo idadi kubwa sana ya Watanzania ambao wameajiriwa katika sekta binafsi, na kama tunavyofahamu, mara nyingi sekta binafsi...
Salaam Wana JF.
Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
Hivi karibuni nimekuwa mfuatiliaji wa mambo ya ulimwengu wa Roho. Katika lulu ambazo nimepata kuzijua ni Mtumishi wa Mungu, Askofu Elibariki Sumbe msimamizi wa Kanisa la Vuka Yordani lililopo Ngaramtoni, Arusha. Katika zama tulizomo moja ya changamoto kubwa ni kuwatambua Watumishi wa Mungu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.