ukomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mugah di matheo

    Upi ukomo wa ubunge wa kuteuliwa na raisi?

    Mbunge wa kuchaguliwa ama yule wa viti maalum hukoma kuwa mbunge pale tu akikosa kuwa mwanachama wa chama Cha siasa ama muda wake kuisha au sababu zingine za kisheria zilizo ainishwa katika katiba. Je inakuwaje kwa akina Bashiru na Polepole? Nani Mwenye mamlaka ya kuwafuta ubunge kabla bunge...
  2. M

    Uvumilivu wa kisiasa usio na ukomo ni sumu ya uvumilivu wa kisiasa

    Uvumilivu wa kisiasa ni miongoni mwa kanuni kuu katika dhana ya demokrasia. Hata hivyo katika jamii yetu bado tunahitaji kuukubali ukweli huu ili kuwa na demokrasia yenye kuchochea utawala bora katika nyanja zote. Kuna umuhimu na ulazima mkubwa wa kutambua kuwa, si kila mtu atakuwa na...
  3. Kasomi

    Kujua Application zinazotumia Data na kuweka ukomo

    Kujua aplikesheni zinazotumia zaidi data. Nenda sehemu ya settings(Mipangilio) Kisha bonyeza kitufe cha Network & internet/connections(mtandao na miunganisho) Kisha bonyeza Data Usage(Matumizi ya data) kisha Mobile data usage(matumizi ya data ya simu). Kudhibiti matumizi. Nenda kwenye...
  4. Fohadi

    Hivi kwanini Ubunge usiwe na kikomo ili kupisha mawazo mapya?

    Binafsi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa japo nafuatilia siasa kwa sababu siasa ina affect sekta zingine zote za kimaisha hivyo upatikanaji au uwepo wa viongozi bora ni kitu muhimu sana kwa maendeleo. Na ili tupate maendeleo, tunahitaji mawazo mbadala kila kukicha. Inasikitisha kuona kuna...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu

    Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni. Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi. Nini maoni yako katika hili.
  6. mfianchi

    Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa. Kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza...
  7. Torero

    Katiba sasa ibadilishwe Zanzibar kuondosha ukomo wa muda wa Urais

    Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka kumi ikiisha Kwa uwezo wa Mungu. Sote tunashuhudia siku chake tu amefanya Mambo makubwa sana. Na hii...
Back
Top Bottom