Ukonga is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania with postal code number 12107.According to the 2002 census, the ward has a total population of 75,014.
''Bunge la TZ ndilo limekosewa lakini adhabu inaenda kwa bunge la Afrika
Mbunge ndiye kakosea, wanaadhibiwa wananchi wa Ukonga.
Asiyekatwa kodi kasema hakatwi, Kamati inalazimisha kusema anakatwa.''- Askofu Bagonza
Hizi ndio PHD sasa
Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu, imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania, Ustaadhi Aboubakar Mbowe, pamoja na kumuona mfungwa huyo wa kisiasa, Askofu Shoo ametumia nafasi hiyo kutoa neno la matumaini kwa...
Jana nilifanikiwa kupita maeneo ya makazi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) pale Ukonga, Dar Es Salaam.
Ni makazi duni sana, yamechakaa, hayastahili kukaliwa kwa sasa! Japo sijawahi kuwakubali askari, lakini kama wanajitahidi kulitumikia Taifa, kwanini Serikali isiwaangalie kwa...
Wakuu , kwanza napenda kuwapongeza Watukufu Waislam kwa kumaliza kwa mafanikio makubwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan , Mwenyezi Mungu awajaalie kila lililo jema .
Hata hivyo ifahamike kwamba wakati sisi wengine tukisherehekea Idd majumbani mwetu pamoja na familia zetu , kule Ukonga wako Mashehe...
Sisi wananchi tuishio mazizini Ukonga, tunaomba msaada wako kwa sababu ya mitetemo na vipaza sauti, hili kanisa limejengwa makazi ya watu. Ibada zao zipo siku ya Jumatatu, Jumatano, Ijumaa, kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 2:30 hadi saa 3 usiku, Jumapili saa 2 asubuhi mpaka saa 9.
Na Kila siku...
Kwanza hongera kwa ushindi na heri ya mwaka mpya, hongera sababu ulifanikiwa kupita katika kura za maoni na pia kupata ridhaa yetu sisi wananchi, hongera tena sababu ni jimbo ambalo umelihangaikia kwa muda mrefu.
Masikitiko yetu sisi wananchi ni kwamba tangu uapishwe hujawahi kupita mitaani ili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
Habari wana JF,
Leo numepita mitaa kadhaa ya jimbo la ukonga, nikashanga kukuta magreda yakifukia mashimo na makorongo barabarani hadi usiku.
Nikauliza kulukoni mbona miaka na miaka wananchi wa huku wanapita kwenye haya mabonde! Imekuwaje leo vifusi vijazwe?
Nikaambiwa mgombea wa CCM Magufuli...
Habari wana JF!
Ni dhahili kuwa 2020 rushwa ni kigezo kikuu cha kukubalika katika mchakato wa kupata wagombea wa ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (ccm)! Na hili limelalamikiwa na tumelilalamikia tangu mchakato haujaanza , Ila penye udhia penyeza rupia ndio staili. Mwenyekiti wetu mh...
Naitwa Sabrina
Nina miaka 22,
Naishi Dar, Ukonga.
Elimu yangu kidato cha 4
Naongea English na Kiswahili,
Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
Ukonga ni miongoni mwa majimbo 3 ambayo yapo katika Wikaya ya Ilala. Wengi wa wakazi ni wa kipayo cha chini na wachache cha kati.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi, kama kawaida mengi hujitokeza. CCM Ilala, DSM na taifa wasipotafakari 2020 jimbo tutaligawa kwa Upinzani tena. Zaidi ya wanachama...
Wikendi hii nilipata fursa ya kutembela magereza ya Ukonga na Segerea(Segere Màtata) na nilijaribu kuongea na wapangaji wa huko kuhusu ujio wa Kangi Lugola katika magereza hayo.
Wengi walipokea hoja hiyo kwa furaha na wakasema kwamba, alishauri wafungwa wafanyishwe kazi za suluba za uzalishaji...
Ni miaka 22 imepita sasa tangu Serikali ya CCM chini ya Benjamin Mkapa kutoa stop order hapo mwaka 1997 ya kuwazuia wakazi wa kipunguni A, Ukonga jijini Dar es salaam kuendeleza makazi yao ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwalimu JKN lakini wakazi hao mpaka leo hawajalipwa chochote.
Je...
Duh siamini ila sasa nimejua kila.mjanja ana mjanja wake. Huyu jambazi katesa sana watu kaua sana madereva wa bodaboda za Mombasa.
Alikuwa akikamatwa anafikishwa polisi mnajua anaishia huko wiki inayofwata anatoka na kufanya mara mbili ya aliyofanya huko nyuma.
Pongezi kubwa Mh. Mambosasa na...
Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga amekata rufaa Mahakama ya Wilaya Ilala akipinga hukumu ya Mahakama ya Mwanzo ya Ukonga.
Katika hukumu hiyo, Odunga alitakiwa kutoa Sh7 milioni kama nusu ya gharama za matunzo aliyotumia mkewe, Medilina Mbuwuli kumsomesha mtoto wao kuanzia darasa la kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.