Jana nilifanikiwa kupita maeneo ya makazi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) pale Ukonga, Dar Es Salaam.
Ni makazi duni sana, yamechakaa, hayastahili kukaliwa kwa sasa! Japo sijawahi kuwakubali askari, lakini kama wanajitahidi kulitumikia Taifa, kwanini Serikali isiwaangalie kwa...